Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Gareth bale or Reus tukifanikiwa napo kumpata mchezaji mmoja kati yao kwa ajili ya Winga nayo sio mbaya tunahitaji kurudisha mpira wetu na heshima Man U ina utamaduni wa kutumia mawinga washa wenye kasi na washambuliaji wawili pale mbele huku ikiwa na viungo mafundi wenye roho ya paka pale kati,kwa nafasi ya mabeki tupate full back mmoja kwa ajili ya kumpumzisha Baily na kuziba pengo anapokuwa majeruhi au kuwa na kadi.

All in all tumelinda mikataba yetu ya kibiashara,hadhi na kuvutia wawekezaji wengine

This is Manchester United i use to know
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…