Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kiwango hicho

Screenshot_2017-05-22-09-04-13.png
 
Hiyo jumatano tumejipanga na figusu zote... Martial, rashford na Mick ni full kuwataftia watoto kadi... Yan kutafuta penati... Yan mpaka HT tumeshamaliza mechi
 
Hiyo jumatano tumejipanga na figusu zote... Martial, rashford na Mick ni full kuwataftia watoto kadi... Yan kutafuta penati... Yan mpaka HT tumeshamaliza mechi

Tuombe iwe hivyo maana yake tukipigwa fainali maana yake Man itakuwa na msimu mbovu kuwahi kushuhudiwa na Jose pamoja na projects zake zote zitakuwa zimefail.

Kuhusu mchezo wa jana nadhani Jose alitakiwa kuwatumia makinda mdogo mdogo badala ya kulalamika wingi wa michezo na kuchoka wachezaji.Mfano Tuazabe alitakiwa kuwemo katika kikosi baada Jose kuwauza Depay na Sheidalin,ni mchezaji wa kiwango kizuri mechi nne za mwisho alizocheza zimetowa mwanga mzuri sana lakini utashangaa msimu ujao tutasajili wachezaji kibao na kuwanyima nafasi makinda kinyume cha utaratibu wa Man.

Nadhani tumerudi nyuma hatua kadhaa chini ya Jose,tukosa style,tumekuwa wazee wa kudefence zaidi kuliko kushambulia,timu zote kubwa yaani top six zimetusumbua michezo ya ugenini.Mfano mechi yetu na Arsenal ilikuwa aibu kubwa nakumbuka pia mechi na Liverpool tulicheza wachezaji kumi nyuma kuzuia tu.Tulichapwa na Chelsea kipigo kibaya na cha aibu.

Mechi za nyumbani nyingi zilikuwa sare tena kwa timu ndogo Jose hakuwa na solution zaidi ya kumtegemea mchezaji mzee asiyekuwa na future na Man kibaya zaidi alikuwa na mipango ya kumtegemea msimu ujao Mungu mkubwa kaumia itabidi tutafute mshambuliaji mwingine wa kusaidiana na dogo msimu ujao.
 
Kama mechi 15 tulizotoa sare tungelishinda leo Tungelikuwa mabingwa wa EPL.

Yaani kimahesabu ni kama ifuatavyo:-

15x2 + 69 = 99

Chelsea tungelimpita kwa pointi

99 - 83 = 16

Kusajiliwa kwa Griezmann na wengineo kutatuhakikishia ubingwa mwakani bila zengwe kabisa
 
Griezmann on United links

“My future will be decided within 2 weeks. On a scale of 1 to 10, the chances that I sign to United? 6.”
 
Back
Top Bottom