Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Europaaaaaa here we come
Mtoto hatumwi Sokoni, Mou baada ya kuona kaingia nusu fainali akapunguza jitihada kwenye EPL sasa asituangusheManutd v. Ajax Amsterdam Jumatano usiku kuanzia saa nne kasorobo
Historia ya Mourhnio iko wazi hajawahi kuacha meno akiisha kutinga fainaliMtoto hatumwi Sokoni, Mou baada ya kuona kaingia nusu fainali akapunguza jitihada kwenye EPL sasa asituangushe
Utakuwa umetumwa kuja huku na asernal[emoji4] [emoji4]Sijui msimu ujao atafanyaje huyu manager?
Yani tunashindwa kushinda na kuzifunga timu kubwa!!
Shit man u,na Europa hatushindi
Acha uchawii weweeeeeeeeeeeeeeee.......... Mou amewekeza akili yake yote kwenye UEROPASijui msimu ujao atafanyaje huyu manager?
Yani tunashindwa kushinda na kuzifunga timu kubwa!!
Shit man u,na Europa hatushindi