BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,076
...watani,
sitakuwepo hewani jioni ya leo,...
may I be the 1st to Congratulate you Guys!...
...kwakuanzia na Man United 1stLady -BelindaJacob,...
Manda, Eqlypz, Belo, mfarisayo, RR, papizo, mahesabu et al...!
Well done and Goodluck buddies...
Thanks Mbu kwa pongezi..roho ilikuwa inakuuma nini kuangalia mechi? ha ha
Wacha1 iko wapi wewe hata 'congrats' unatubania?? au bado unafanya analysis zako?! nasubiri maua au iwe 30th may kwenye parade!!..Jitokeze,lol
@AB Titchaz, Belo, Manda, Arsene Wenger, Balantanda, Mbu, Michelle, Ng'wanza Madaso, Peasant, Wacha1 na wengine, kweli asiyekubali kushindwa sio mshindani. Hatimaye Man U wameipiku rekodi ya Liverpool. Kuna jamaa yangu wa Liverpool, yeye alikuwa akijiapiza kwa kusema kwamba ni bora Man U wabebe kombe kuliko kushuhudia Torres akivishwa medali iwapo Chelsea wangechukua taji. Hakupenda kabisa. Tuendelee kugonganisha vyupa.
Mkuu nimekubali na ninawapongeza sana sana MANCHESTER UNITED.....naisubiri tu Fainali ya UEFA....napo nawatakia kheri!!!
Congratulations to the Manchester United fans and enjoy the moments at Old Trafford! This year perfomance was "Simply the best"!
Please inform Icadon that I say hello and congratulations!
Icadon nilimkimbiza hawezi kurudi nikiwepo... Ila nitamfikishia ujumbe.Hongereni sana mashetani
Mkuu Icadon, hebu jitokeze japo kwa ubingwa huu tu.....hongera sana Mkuu
Icadon nilimkimbiza hawezi kurudi nikiwepo... Ila nitamfikishia ujumbe.
MAN UTD,
S.L.P OT((THE EUROPEAN CAPITAL CITY OF TROPHIES),
15/05/2011.
ARSENAL,
S.L.P KAMBI YA GONGOLAMBOTO,
YAH: MAOMBI YA KUUZIWA KABATI LA KUHIFADHIA MAKOMBE
Kichwa cha habari tajwa chahusika.
Kutokana na Man UTD kuchukua ubingwa kwa mara ya 19, kutakuwa na upungufu wa nafasi ya kuweka makombe mengine ikiwemo ubingwa wa mwakani. So tumeona itakuwa busara tutume maombi ya kuuziwa kabati moja toka store yenu kwani ni wazi kuwa mnayo makabati mengi matupu yanapigwa tu vumbi store so badala ya kununua kabati sehemu nyingine tumeona itakuwa vizuri tukinunua toka kwenu kwani fedha mtakazozipata zitawasaidia pia kununua wachezaji wengine wa hamsini kitu a.ka wachezaji wa mafungu toka soko la mitumba la Ufaransa.
:A S 103:
2011 CHAMPIONS