Tunashinda!Kikosi cha leo
Hata mm Leo sina cha kusema ,namuachia José amue atakavyoToka Mou alipotupangia kikosi cha Chelsea game na akabring magic...hatukiwi kumjudge boss kwa kikosi kabla ya game
Haaa haaa haaa haaa kwa kweli,Kikosi kizuri nna Wasiwasi na defensive line up tu,Leo Herera,Rooney,Martial,Mik wanajukumu la kufunga tuHata mm Leo sina cha kusema ,namuachia José amue atakavyo
Mou akili yake imehamia Europa hapa anazuga tu... akishinda ni advantage akifungwa sawa tu.Our formation leo ni 4-5-1,kwa formation hii nadhani tungeanza na Rashford kupata goli la mapema Zaidi.
Teh! Teh! Teh!Rooney daaah huyu jamaa ni jipu
Kaka Ruta sio story rooney anatugharim sanaTeh! Teh! Teh!