Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mazee, United players wamecheza mechi nyingi kuliko City. I'm just saying, simaanishi kutetea matokeo. Lakini tuwe considerate. Top 4 bado ipo reachable kabisa.
 
Wachezaji hawa wanatakiwa waondoke,Rooney,Jones,Smalling,Ibrahimovic,Shaw,Carrick,Fellaini,Darmian..na tuwareplace na watu wenye uwezo mkubwa.Jamani si mnaona spurs wanavotandaza mpira viungo wakipata mipira wanadrive vizuri kuelekea mbele,sisi viungo wetu e.g carrick hawezi kufanya hivy,ye ni kurudisha tu mpira nyuma.Rashford ana uwezo sema papara nyingi inabidi tutafute world class straiker.Pogba yupo vizuri hata pengo lake linaonekana mechi mbili hizi ambazo hakucheza.
Full beki left inabidi tutafute mtu mwenye kaliba kama ya Evra au Marcelo,sio hawa ambao hata krosi hawawezi kupiga..Rojo na Bailly ndo watu ambao wabaki pale center defence,tuongeze na wengine sio hawa kina smalling,akirudi Michael Keane itakuwa vizuri sana
We have to fight kuwapata watu kama kina Griezman,James,Rodrigez,Trippier wa spurs
Umefika mda tutengeneze kikosi cha ushindi sio wachezaji wanaokuwa kama wanabaatisha leo yuko form kesho ovyo..Kikosi cha Spurs ni mfano hai wa kikosi cha ushindani..

Ni hayo tu..
 
Andiko zuri sana ila utofauti tulionao mashabiki wa man utd ni kwamba tunataka mafanikio mapema mno hata Kama tutasajili world class lakini tuwe wavumilivu hata iyo spurs iliwachukua muda kuwajenga kina delle, Kane ,dier maana walikua wavumilivu na sprit kubwa sana
 
Nimekuelewa. Ila kuitaka United ijifunze kwa Spuds ni insult.
 
Nimekuelewa. Ila kuitaka United ijifunze kwa Spuds ni insult.
Mkuu nimeongelea suala la wachezaji baadhi wenye ubora kama Dele ali,Tripier,Dier,na sio hawa wakwetu ambao tunawaoverate ila kazi yao uwanjani bado ni ndogo kuwawezesha wao kuwepo kwenye moja ya klabu kubwa duniani..
 
Tuna wachezaji wengi sana ambao ni below average shame mishahara yao ni mikubwa sana,
Rooney
Lingard
Smalling
Jones
Blind
Fellain
Darmian
Young
Hawa wote wanatakiwa waondoke,

kama zlatan ataondoka (and thats my wish) tumlete striker anae eleweka. (Bellot, Aubemayang, lukaku) au winger anaeweza kufunga kama sanchez. Nina uhakika AG hatakuja msimu huu na hata akija yule sio mzuri akicheza kama lone striker, ni mzuri sana akicheza kama second striker au 10.

Tumpate mbadala wa carrick, (Weigl, cyprien au saul are ok)

kama shaw atauzwa basi tutafute proved LB kama kursawa, Rodriguez, Alex sandro au Theo hernandez japo madrid na Barcelona wanamtolea macho.

Tupate CB mwingine wa kushirikiana na bailly, Rojo kafanya vizuri msimu huu lakini sio mchezaji wa kuwa first IX ya club kama Manchester,

Mwisho hata tukipata RB wa kushirikiana na Valencia sio mbaya.

kwahiyo ni sehemu kama nne ambazo zinatakiwa marekebisho (LB, CB, CDM na CF) pia nae mou anatakiwa atafute mfumo ambao utaweza kuwa favour key players wetu kama pogba, pogba ni mzuri sana akicheza kwenye viungo watatu akitokea kushoto (4-3-3).
 
mbappe wa nini mkuu wakati tuna Rashford? zaidi ya huu msimu sijawahi msikia kabla huyu mtoto.

Dembele nae utoto mwingi, selfish player,mwache akue huko aliko.
 
Wadau Yule mtoto wamempa paundi laki moja kwa uchezaji gani haswa do go ndio alitusaidia kwenye semi na mechi nykngine ila hayuko consistency kabisa Jana anapoteza pasi dah keenyelist ya kuondoka Mara mia fella in abaki kuliko uyo do go lingard mi simwelew kabisa ila at the end let's wait and see what we will harvest at the end of the league may the best be with us ggmu
 
Msimu haujaisha japo kiuhalisia top four lazima kazi kubwa ifanyike,, best option ni Europa lakin changamoto ya majeruhi pia inaweza haribu hesabu,,

Tukifanikiwa kufuzu UCL timu inatakiwa ijengwe kikamilifu,, maoni yangu tuwapate wafuatao,,

1. GKs Oblak kama de gea ataondoka,,

2. DFs keane/lindeolof/jimenez wasaidiane na bailly, rojo, mensah na tuanzebe,, pia pemben abaki valencia, blind na shaw japo nae siamin kama atakuja rudia ubora wake,,

3.DMs verrati/radja/bakayoko,, hapa hatuuna mtu kabisa,,

4. CMs marek hamsik/benard silva wasaidiane na herrera na dogo perreira,,

5. AMs ypo pogba, mkhi, na mata hivyo james rodriguez hana nafas kabsa,,

6.CF belloti/lukaku watasaidiana na martial na rashifod,,

Hii pia itategemea na mfumo mfano kama n 4-4-2 bas aletwe winga mwenye spid kama lemar wa monaco upande wa kushoto kulia mkhi,,
kama ni 4-3-3 viungo watat atasimama hamsik herrera na silva mwiso pogba belloti na mkhitaryan,,

Naomba kuwasilisha,,,
 
Safi kabisa uko sahihi mimi naona griz hawezi kuwika akiwa O.T bora tushushe wagumu Kama Lukaku
 
Braza, naomba nikuulize: umetumia vigezo gani kufikiri hao uliowataja watafaa United? Unaelewa timu ina mtu anayelipwa mshahara kufanya scouting ya wachezaji? Ina maana wewe una resources kama alizo nazo huyo mtu mpaka useme hao uliowataja wanafaa kwa United?

Naelewa unapotokea, lakini tuwe pia rational katika maongezi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…