Damushin and
Erick Bailly are now facebok friends.
mashabiki wanamfananisha na
nemanja vidic ila mimi nahisi kitu pekee walichofanana ni ujasiri wao wa kupambana na adui.
bailly ni mtulivu sana na ana skills sifa ambayo uingereza nzima niliiona kwa
rio ferdinand.
msimu ujao chini ya jose mourinho kwenye safu ya ulinzi tunahitaji kuongeza shetani mmoja kama
kalidou koulibaly.
nashindwa kuelewa kwa nini trump anahangaika kujenga ukuta kule Mexico wakati erick bailly yupo.