Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hali tete sijui mou atatumia mbinu ipi tumpige huyu bwege
 
Pengo la Pogba kubwa...hamna mtu wa kukaa na mpira pale kati. Tena tunabahati Silva hayupo leo.
 
Manutd leo sijui wakoje?
Wapo vizuri na ni mfumo ambao Mou anataka leo tucheze na ndio mana unamuona he is happy with the game, anawamaliza kipindi cha pili now ni 4 33 ila kipindi cha pili tunaweza kucheza 4 4 2 kwa kumuingiza lingard.

Mikh leo hayupo uwanjani kabisa,na Fellain anapoteza sana Mipira kirahisi.

Rashford naona na yeye leo kapewa mtu atembee naye kama ulivyokuwa kwa Herera na Hazard.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…