Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Amen. Tujipange kuikabili timu ya UEFA sasa, hope nayo haitatusumbua
 

Muchas gracias BAK..so delighted for sure!!..celebrate with us🙂 lol
Hii mechi ilikuwa ni muhimu sana, ni vyema kuona vijana wamejituma kupata ushindi..tunakamilisha ratiba tu kwenye next match dhidi ya Blackburn..
Kudos manure fans @JF!!
 
Watani wetu wote ahsanteni kwa "support" mliyotupa kwenye hii mechi.. Personally hii mechi kwangu ilikuwa muhimu sana kuliko ata hiyo inayokuja ya Barcelona.. point moja and we can say "We knocked them off their F----n perch" but for now ngoja tusherekee ushindi the worst Man Utd team is proving all the doubters wrong.
 
Quotes from Julio

Ukiona baba yako anakimbia sana msifu pia na anayemkimbiza.

Hongereni sana Washibiki mseto( Anti United Fans) tukutane next season
 

United on the brink

Manchester United are within a solitary point of what appears certain to be a record 19th league title after a fully deserved 2-1 win over Chelsea courtesy of Javier Hernandez and Nemanja Vidic. Read
 


That's the thing I admire about Ferguson. Huyo babu anaweza kufanya wachezaji ambao ni very average waonekane world-beaters, can you imagine wachezaji kama O'Shea, Fletcher, Park, Evans, Owen, etc kwenye timu yoyote kubwa Ulaya?
 

mawazo mawazo yanautesa moyo wake, kufungwa kufungwa kunamuumiza moyo wake.
 
u gotta luv this team... yani raha tu siku zote

19th title hiyo ngoja ninywe mvinyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…