BJ & Co Hongereni sana Wakuu. Mnastahili kuutwaa tena ubingwa wa EPL. Timu yenu inajituma sana uwanjani na wanacheza kwa ari kubwa sana hivyo pamoja na kuwa mara nyingi siwafagilii lakini hakuna ubaya wowote kuwapongeza kwa ushindi mkubwa leo wa mara ya tatu mfululizo dhidi ya Chelsea.