Mhhhh!!! Wewe embu acha masihara!! Source???Inasadikika kwamba naye ROJO anaeza miss mech zote zlizobaki.
Mimi ni mzima sana dada, sikujua kuwa humu ni chimboni mwakoKaka yangu acha tu majukumu yamenibana mpka basi,ila nitakosekana kote ila si humu,wewe ukinikosa kote njoo humu, vipi u mzima wewe?
Hahaaha yaani ukimchana ngozi everlenk unapata tu Man UnitedMimi ni mzima sana dada, sikujua kuwa humu ni chimboni mwako
Hahaaha yaani ukimchana ngozi everlenk unapata tu Man United,hapa ndo home karibu sana.
Top strikers wenyewe siku hizi majanga wako wachache sana kila mtu anamtolea macho,yaani inabidi hizi academy zetu zipikwe vizuri zitoe vijana machachali watakao tufaa,ila kwasasa mfano tukimpata Griezman sipati picha United yetu itakuwaje!!!Kwa jinsi tunavyotengenza nafasiza kufunga i cant wait for Top striker aje pale ili adabu irudi kama zamani.
Ile pasi ya Ander Herrera mpaka leo najiuliza, alipimaje ile pasi mpaka ikamkuta Rashford.Nipo zangu napumzika naangalia highlight reply ya Man United na Chelsea yaani jamani acha tu ilikuwa raha sana ilikuwa bonge la match!!! natamani hata Dstv wairudie tena
Ibra hatoonekana uwanjani mpaka mwisho wa msimu, rojo sijuiAny update juu ya IBRA na Rojo
Sawa kabisa mkuu,huyu zlatan ndo katufanya tuwe nafasi hii tuliyopo..hii itasaidia man u waingie sokoni kutafuta straika mwenye makali,sio kama huyu mzee..mechi zilizobaki rooney apewe nafasi na yeye kidogoSifurahii kuumia kwa zlatan lakini afadhali atakaa nje, mwengine ni lingard natamani nae apatwe na tatizo japo la kiafya litakalomfanya akae nje mpaka msimu uishe, hao wachezaji wawili ni mizigo pale utd, nimaoni yangu
Mhhh!! Ni maoni yako lakini hapo best angu umevuka mipaka kumuombea mabaya hayoSifurahii kuumia kwa zlatan lakini afadhali atakaa nje, mwengine ni lingard natamani nae apatwe na tatizo japo la kiafya litakalomfanya akae nje mpaka msimu uishe, hao wachezaji wawili ni mizigo pale utd, nimaoni yangu
Mimi natamani iwe hapa kama wall paper yetu kila saa naionaIle pasi ya Ander Herrera mpaka leo najiuliza, alipimaje ile pasi mpaka ikamkuta Rashford.
Wewe nawe utaishiaga hayo hayo wewe na li UEFA lako umefika wapi? Miaka nenda rudi unasindikiza tu toka nimekuwa katoto mpka sasa mzee mnaishia njiani tu.Timu lenu halina kiwango cha kucheza uefa ...nyie mtaishia Europa tuu
Sawa kabisa mkuu,huyu zlatan ndo katufanya tuwe nafasi hii tuliyopo..hii itasaidia man u waingie sokoni kutafuta straika mwenye makali,sio kama huyu mzee..mechi zilizobaki rooney apewe nafasi na yeye kidogo
Nani amekudanganya wewe,mechi karibia zote zlatan kacheza full time,na amecheza mechi nyingi kuliko wengine..Kweli kabisa Zlatan ndio kafanya tuwe hapa tulipo,mpaka sasa kafunga magoli 28 na anaemfata ana magoli 10. Kama sio yeye leo tungekua tunapigana vikumbo nafasi ya 10.
Kaka wewe kichwaaa!! Jibu lako limenifanya nitabasamu..... goodKweli kabisa Zlatan ndio kafanya tuwe hapa tulipo,mpaka sasa kafunga magoli 28 na anaemfata ana magoli 10. Kama sio yeye leo tungekua tunapigana vikumbo nafasi ya 10.
Niambie gemu ambazo hakucheza zlatan tulipoteza point ngapi, mi naona gemu ambazo hakuepo ndo tulichukua point 3 kirahisi, ishu sio kafunga magoli mangapi, ishu ni katengenezewa nafasi ngapi za wazi kapoteza, kama asingekuepo naamini tungekua tunaongoza ligiKweli kabisa Zlatan ndio kafanya tuwe hapa tulipo,mpaka sasa kafunga magoli 28 na anaemfata ana magoli 10. Kama sio yeye leo tungekua tunapigana vikumbo nafasi ya 10.