Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Ni kosakosa tu za Manutd
Hule......Hule Mpira Waliowapigia Chelsea Umeendea Wapi?
dogo bora arud Pemba akauze naziRashford kwa mara nyingine anakosa goli la wazi kabisa
Ameniboa sana.Ibraaaa njeee leo kapwaya haina maelezo
Hawajamaa wanasubiri wapate la kushtukiza au matutaPogbaaaaàaaa goli lakataliwa