ila jamani soka ya siku hizi ni mipango uwanjani...kucheza mwenyewe kwa akili yako labda uwe unatupia mpira katika kamba kama huna akili nzuri....Jana nilishangazwa sana na namna Mandzukic alivyokuwa anacheza ktk mechi na Barcelona...yaani kama sio forward kabisa..kumbe alikuwa anatekeleza mipango ya kocha kwa ufasaha