Leo ni leo, nilifua jezi yangu ya manchester ili nivae tutakapoenda kuwasulubisha wanaojifanya wajuaji wa chelsea, ila na hii mvua haijakauka hivo nimeianika nyuma ya fridge.
Hureeee viva manchester na mashabiki wake dunia nzima. lazima tuwatoe kamasi hawa mabwana wadogo leo.Hureee uwanja wa nyumbani jamani

Yani match of the season mmeshindwa kuiwekea jukwaa tujumuike pamoja wakuu?
Anyway naona kale katoto kanachopenda sifa kamefanya kazi.
AW unatafuta nn huku inhal uko msiban?
Kweli kaka...Yani match of the season mmeshindwa kuiwekea jukwaa tujumuike pamoja wakuu?</p>
Anyway naona kale katoto kanachopenda sifa kamefanya kazi.
lazima wakalie kisu leo