simkubali kabisa fala yuleWatakuambia kapiga pasi nyingi kuliko mchezaji wowote yule, ukirudi kuangalia pasi zenyewe ni back to back tena zero distance, au pasi za nyuma, kama mpira ni pasi nyingi hata zisizokua na mipango leo arsenal angekua mbali kweli, kwa miaka mingi ndo bingwa wa kupiga pasi
asanteHongereni...
Hatimae umekuja. Asante.Hongereni...
Nadhani tumeanza ku-share hili tatizo na Liverpool [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo la Man U ni kukamia timu kubwa na kushindwa kuchukua pointi nyepesi kwenye vitimu vidogo.Timu ngumu ngumu zipo kama 5 au sita hivi.Timu za kawaida zipo kama 15 hivi.
Unaujua mpira ww au unaijua Man u[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]UEFA ipi iyoo labda ya Africa. .underletch anakuja kuwazaba hapo hapo na hamta amini ..kuifunga Chelsea basi mmejiona wazurii ..timu mbovu tuu
2D and 1W sio mbayaOut of three games mmeshinda one game...ila kelele zake sasa duuh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja tushangilie hatujui tutashinda lini tenaOut of three games mmeshinda one game...ila kelele zake sasa duuh
Kweli kabisa.Sisi tuna unafuu kidogo.....Nadhani tumeanza ku-share hili tatizo na Liverpool [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atutegemei timu yenu ili tuwe mabingwa wewee ..ubingwa tunao tayari. .ila ni vizuri mkashinda kwa faida yenu. ..
Namwombea njaa apoteze gemu zoteeeee ...
Hongereni...
I meant games between Chelsea vs Man utd this season.2D and 1W sio mbaya
vipi matokeo yenu kwenye mechi tatu zilizopita?
oooohoooo kumbe ni hilo? basi tuwekee head 2 headI meant games between Chelsea vs Man utd this season.
Huko unakoenda usijaribu.