kabisa,alikuwa anacheza kati,mou kampeleka pembeni..mbona mwaka jana alikuwa vizuri alivyokuwa kati pale na akawa top scorer wetu last season..Sidhan kama kawa Useless, ile law ya Use and Disuse inamsumbua
Mkuu kna vitu ambavo vinaoneka wazi, hata kwenye Tv.Unajua wenzetu mpira ni sayansi. Kila mechi stats zinachukuliwa na kuwa analysed kisayansi. Hizo stats ndio zinaonesha perfomance ya mchezaji na kocha anatumia ampange nani.
Sasa sisi washabiki ambao hata hatujui carrington aka aon trainging complex ikoje tunataka tunaowapenda ndio wacheze.
On paper martial/shaw are more talented than lingard etc lakini perfomance zao hazijustify talent yao kupangwa. Anapangwa anae perform sio nani ana kipaji au bei kubwa.
Apo kasema kweli,"He's tired - very tired," says Mourinho on Zlatan. "I’ll try to protect him but let’s see the result. He's on the bench and ready to help."
Martial tangu akiwa Monaco huwa anacheza kutokea pembeni na hata timu ya taifa France anacheza winga alisajiliwa United haikuwa na striker ikabidi achezeshwe na akafanya vizuri.Amekuja kocha mwingine na philosophy nyingine akamrudisha pembeni kubadilishwa namba sio sababu ya kushuka kiwango Rojo,Herrera,Valencia,Young,Mata wamebadilishwa namba lakini viwango ndio vimeongezekakabisa,alikuwa anacheza kati,mou kampeleka pembeni..mbona mwaka jana alikuwa vizuri alivyokuwa kati pale na akawa top scorer wetu last season..
Visit training ground one day utajua kwanini fulani anapangwa na fulani hapangwi. Kocha haangalii sura,jina. Wachezaji wana style na uwezo tofauti. Anaweza kucheza mechi hii akakosa ingine. Tulijuwa na Seb Veroni alikuwa excellent ECL lakinni ikija EPL anachemsha.Mkuu kna vitu ambavo vinaoneka wazi, hata kwenye Tv.
Nadhan utakubaliana na mm kuwa kila Kocha huwa kuna wachezaj anowapenda kuwatumia haijalish hzo stats, Carrick alikuwa key player kipind cha Ferguson, lakn kwa Mo hampi nafas sana. Angalia Fellain anavocheza, lakn Kocha ndo anamkubali
He is giving 120%! Hii sio simba na yanga utembelee nyota.Huyu young ananyota ya kupendwa sana ! Dah 2subiri miujiza kikosi kibovu
Sidhan kama kawa Useless, ile law ya Use and Disuse inamsumbua
Akiuzwa nitasikitika sana.Martial amekuwa useless msimu huu,huenda akauzwa mwisho wa msimu
sasa kweli hata diego costa tukimpeleka pembeni angekuwa ameshinda hizo goli alizonazo..afu sio kwamba martial pembeni hachezi vizuri,ila ni chanse za kucheka na nyavu zinapungua..Martial tangu akiwa Monaco huwa anacheza kutokea pembeni na hata timu ya taifa France anacheza winga alisajiliwa United haikuwa na striker ikabidi achezeshwe na akafanya vizuri.Amekuja kocha mwingine na philosophy nyingine akamrudisha pembeni kubadilishwa namba sio sababu ya kushuka kiwango Rojo,Herrera,Valencia,Young,Mata wamebadilishwa namba lakini viwango ndio vimeongezeka
Anapumzishwa. Kwa lugha rahisi Mou anategemea zaidi Europa kuliko nafasi ya nne kucheza ECL.Sijui kwanini Zlatan hayupo First XI ?