Gwakukahja
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 1,119
- 740
Game ya leo ndo ilikuwa special kwa kina mensah na pereira kucheza bt waliishia kukaa bench sasa sijui watacheza game ipi....
ughonile nkamuGame ya leo ndo ilikuwa special kwa kina mensah na pereira kucheza bt waliishia kukaa bench sasa sijui watacheza game ipi....
kumbuka next mechi unakutana na kante sasa sijui kama na hiyo mechi nayo unaihesabiaSisi ni kuwazidi point ikizingatiwa ManCity bado tuna mechi moja nao tukiwafunga tutarudi njia kuu
Unapotea sana mama... jukwaa limepoa sana kukiwa na mechi namwona Ruta mwenyewe hukuHabari humu mjengoni!! I missed you so much,hongereni kwa ushindi,na poleni kwa ups and downs mbalimbali tulizopotia kama timu,ndo vile mambo ya mchezo hayaepukiki,.....GGMU
Hahahaha acha tu best jamani haya maisha!! Tupo tutajitahidi kuonekana ila hongereni mmeliendeleza vyema.Unapotea sana mama... jukwaa limepoa sana kukiwa na mechi namwona Ruta mwenyewe huku
Hii mechi kuna mchezaji mmoja wa Roma alimfuata Carrick akamwambia sasa mshafunga goli tano mbona bado mnakimbia utafikirihamjashinda?!!!Ten years ago today
![]()
Manchester United captain win percentages:Mashabiki wakerwa na Fellaini kupewa unahodha
ni kweli unachokizungumza ila ni bora uwe na points 6 mkononi kuliko kuwa na mechi mbili mkononiLiverpool anatupita point sita lakini kacheza mechi mbili zaidi
upuuzi huuManchester United captain win percentages:
Neville - 55%
Rooney - 56%
Keane - 61%
Vidic - 63%
Fellaini - 100%
fellaini ni shujaa mpya
Kiwango kimepandani upuuzi kwa kweli, mourinho katudharau sana aisee
Manchester United captain win percentages:
Neville - 55%
Rooney - 56%
Keane - 61%
Vidic - 63%
Fellaini - 100%
fellaini ni shujaa mpya

labda mi huwa naangalia mechi tofauti, pia hyo sio sababu ya fella kuvaa kitambaa.Kiwango kimepanda
hahahahahaaaa heshima kwake legend fel lion naamini hata herrera siku moja atakuja kukusifu ndani ya thread hii.labda mi huwa naangalia mechi tofauti, pia hyo sio sababu ya fella kuvaa kitambaa.