Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yaan walitakiwa waloe goli za kutosha hapo ndo unagundua timu yetu bado sana.....
Wachezaji wenyewe ni wasteful...timu ina create nafasi za kutosha. Man utd ni ya tatu kwa shots ikiwa na shots 499(kabla ya hii game) ila ni ya 17 kubadili hizo shots kuwa magoli.
 
Ibrahimovich kafunga magoli 250 tangu amefikisha miaka 30(2011) kwa mechi 308, kabla ya kufikisha miaka 30 alifunga magoli 232 na alicheza mechi zaidi ya 500.
 
Back
Top Bottom