Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Inakera sana MAN U wanaona mtu anaingia ndani na mpira wanashindwa kusogea wanakaa mbali yaani sijui hamna team work!

Valencia atapona Lini hivi? Tusha mmic
 
Mimi ninawaonea huruma sana Lingard na Rashford kama wako serious kuchezea timu kubwa kama Manutd wakaangalie video zote za Christiano Ronaldo. Unapopatiwa nafasi itumie vilivyo siyo huu umzahamzaha tunaouona leo
 
Baada ya kufungwa Fellaini akabadilisha namba kwenda nafasi ya Lingard na hakuwa na mchango hata chembe
 
Back
Top Bottom