Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,940 Apr 4, 2017 #62,501 Hivi Mkhitaryan ni majeruhi?
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 4, 2017 #62,502 Kipa wa Everton yuko chini alijigonga kwenye mwamba lakini ataendelea
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 4, 2017 #62,503 Baada ya kufungwa Manutd kiwango kimependa ghafla swali la kujiuliza ni kwanini hadi wafungwe?
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,192 Reaction score 29,749 Apr 4, 2017 #62,504 Man u bwana
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 4, 2017 #62,505 Mikhi, Martian wanapasha misuli ikiashiria Lingard na Rashford matatani
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 4, 2017 #62,506 Manutd wakiwa na mpira Everton wanajirundika kwa sababu Manutd hawachezi kwa kasi
Nemesis JF-Expert Member Joined Feb 13, 2008 Posts 5,536 Reaction score 4,532 Apr 4, 2017 #62,507 Rutashubanyuma said: Rojo na Dea Gea walizembea Click to expand... Rojo alikuwa anamwangalia MTU badala ya kuangalia Mpira. Ulikuwa mwepesi kuokoa ndiyo maana De Gea akatulia tu, akaliwa tobo.
Rutashubanyuma said: Rojo na Dea Gea walizembea Click to expand... Rojo alikuwa anamwangalia MTU badala ya kuangalia Mpira. Ulikuwa mwepesi kuokoa ndiyo maana De Gea akatulia tu, akaliwa tobo.
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 4, 2017 #62,508 Young katoa kross hakuna wakumalizia
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 4, 2017 #62,509 Everton wakifunga la pili hizi kosa kosa ndipo Manutd watakapozijutia
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 4, 2017 #62,510 IBRA apasia adui
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 4, 2017 #62,511 Rojo leo yuko yuko
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 4, 2017 #62,512 Lukaku asipofunga leo narudia nitashangaa anapata nafasi nyingi mno
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 4, 2017 #62,513 IBRA kakwatuliwa Gueye kala Yellow
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 4, 2017 #62,514 Manutd golini kwa Manutd hadithi ni ileile
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 4, 2017 #62,515 Lingard na Rashford wanarudi nyuma mno hawamsaidii kabisa Ibra
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 4, 2017 #62,516 Rashford akosa bao jingine lol
Econometrician JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 17,519 Reaction score 32,675 Apr 4, 2017 #62,517 Hii timu na arsenal ni MAJIPU imisha niharibia mkeka wangu.pumbaffff sana hii timu
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 4, 2017 #62,518 Fellaini kichwa kinaishia kwa kipa
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 4, 2017 #62,519 Half time Manutd 0-1 Everton (Phil Galgieka)
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Apr 4, 2017 #62,520 Wachezaji wamelizika sana Young anaingiza cross hakuna mmaliziaji. Kufungwa na team mbovu kama Evertone ni aibu sana
Wachezaji wamelizika sana Young anaingiza cross hakuna mmaliziaji. Kufungwa na team mbovu kama Evertone ni aibu sana