Sanja JF-Expert Member Joined Nov 7, 2010 Posts 501 Reaction score 228 May 4, 2011 #6,202 samora10 said: Nite nyt! sijui wembley wale jamaa wanaojiangusha kiulaini na kukimbilia stretcher itakuwaje Click to expand... kateni rufaa mapema maana wanavyowatafutia red wapinzani duh
samora10 said: Nite nyt! sijui wembley wale jamaa wanaojiangusha kiulaini na kukimbilia stretcher itakuwaje Click to expand... kateni rufaa mapema maana wanavyowatafutia red wapinzani duh
Manda JF-Expert Member Joined Sep 24, 2007 Posts 2,071 Reaction score 306 May 4, 2011 #6,203 mfarisayo said: Pole kwa kuacha usingizi wako na hongera kwa kuwa nasi kwa dk 45, ila naomba unikumbushe huenda nimesahau arsenal si mlishatolewa UEFA? so unasema tukutane Wembley kufanya nini? Click to expand... Hahahaha! acha uchokozi kaka...atakupiga mwenye mke..(walcot)
mfarisayo said: Pole kwa kuacha usingizi wako na hongera kwa kuwa nasi kwa dk 45, ila naomba unikumbushe huenda nimesahau arsenal si mlishatolewa UEFA? so unasema tukutane Wembley kufanya nini? Click to expand... Hahahaha! acha uchokozi kaka...atakupiga mwenye mke..(walcot)
mfarisayo JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 5,160 Reaction score 2,004 May 4, 2011 #6,204 WHAT A GOAL!!!!!!!!!!! CLINICAL FINISHING
mfarisayo JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 5,160 Reaction score 2,004 May 4, 2011 #6,205 BAADA YA KAZI
samora10 JF-Expert Member Joined Jul 21, 2010 Posts 7,607 Reaction score 4,817 May 4, 2011 #6,206 mfarisayo said: katoa macho utadhani kafumaniwa Click to expand... mkuu huyu jamaa na kikosi chake cha kujiangusha, kulia na kupanda machela kwa faulo ndogo tunawafanyaje wembley? wanaboa sana aisee mpaka mascherano nae anadeka siku hizi
mfarisayo said: katoa macho utadhani kafumaniwa Click to expand... mkuu huyu jamaa na kikosi chake cha kujiangusha, kulia na kupanda machela kwa faulo ndogo tunawafanyaje wembley? wanaboa sana aisee mpaka mascherano nae anadeka siku hizi
mfarisayo JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 5,160 Reaction score 2,004 May 4, 2011 #6,207 Manda said: Hahahaha! acha uchokozi kaka...atakupiga mwenye mke..(walcot) Click to expand... Mi nimeuliza tu sina jingine
Manda said: Hahahaha! acha uchokozi kaka...atakupiga mwenye mke..(walcot) Click to expand... Mi nimeuliza tu sina jingine
samora10 JF-Expert Member Joined Jul 21, 2010 Posts 7,607 Reaction score 4,817 May 4, 2011 #6,208 Sanja said: kateni rufaa mapema maana wanavyowatafutia red wapinzani duh Click to expand... aaaah wale jamaa wamezidi bana mpira wanacheza vizuri tatizo ni huko kudeka
Sanja said: kateni rufaa mapema maana wanavyowatafutia red wapinzani duh Click to expand... aaaah wale jamaa wamezidi bana mpira wanacheza vizuri tatizo ni huko kudeka
mfarisayo JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 5,160 Reaction score 2,004 May 4, 2011 #6,209 samora10 said: mkuu huyu jamaa na kikosi chake cha kujiangusha, kulia na kupanda machela kwa faulo ndogo tunawafanyaje wembley? wanaboa sana aisee mpaka mascherano nae anadeka siku hizi Click to expand... dawa yao ni kuwawahi tu mapeeeema
samora10 said: mkuu huyu jamaa na kikosi chake cha kujiangusha, kulia na kupanda machela kwa faulo ndogo tunawafanyaje wembley? wanaboa sana aisee mpaka mascherano nae anadeka siku hizi Click to expand... dawa yao ni kuwawahi tu mapeeeema
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,382 Reaction score 10,951 May 4, 2011 #6,210 matokeo mazuri so far Attachments darrongibsonteamceleb20110504_275x155.jpg 11 KB · Views: 29
mfarisayo JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 5,160 Reaction score 2,004 May 4, 2011 #6,211 muhimili said: wanaongoza ngapi? Click to expand... mi nipo mbali na TV sioni vizuri muulize michelle alikuwa amekaa karibu
muhimili said: wanaongoza ngapi? Click to expand... mi nipo mbali na TV sioni vizuri muulize michelle alikuwa amekaa karibu
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,913 Reaction score 10,263 May 4, 2011 #6,212 Huyu Scholes angetolewa mapema hata simuamini anaweza kupata red card
Eqlypz JF-Expert Member Joined May 24, 2009 Posts 4,065 Reaction score 651 May 4, 2011 #6,213 samora10 said: mkuu huyu jamaa na kikosi chake cha kujiangusha, kulia na kupanda machela kwa faulo ndogo tunawafanyaje wembley? wanaboa sana aisee mpaka mascherano nae anadeka siku hizi Click to expand... Jamaa alijua atawakuta akina Rooney wanacheza sio?
samora10 said: mkuu huyu jamaa na kikosi chake cha kujiangusha, kulia na kupanda machela kwa faulo ndogo tunawafanyaje wembley? wanaboa sana aisee mpaka mascherano nae anadeka siku hizi Click to expand... Jamaa alijua atawakuta akina Rooney wanacheza sio?
Eqlypz JF-Expert Member Joined May 24, 2009 Posts 4,065 Reaction score 651 May 4, 2011 #6,214 Valencia is very good at tracking back.
mfarisayo JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 5,160 Reaction score 2,004 May 4, 2011 #6,215 Rafael kwa sasa hivi amekuwa akiumia kila mechi sijui ana tatizo gani?
Eqlypz JF-Expert Member Joined May 24, 2009 Posts 4,065 Reaction score 651 May 4, 2011 #6,216 mfarisayo said: Rafael kwa sasa hivi amekuwa akiumia kila mechi sijui ana tatizo gani? Click to expand... Wanamfanyia sana fouls ili wamkasirishe apewe kadi.
mfarisayo said: Rafael kwa sasa hivi amekuwa akiumia kila mechi sijui ana tatizo gani? Click to expand... Wanamfanyia sana fouls ili wamkasirishe apewe kadi.
Papizo JF-Expert Member Joined Feb 24, 2008 Posts 5,249 Reaction score 2,156 May 4, 2011 #6,217 Eqlypz said: Valencia is very good at tracking back. Click to expand... Kabisa mkuu Valencia mzuri sana maana anarudi na nyuma kuja kusaidia defence....
Eqlypz said: Valencia is very good at tracking back. Click to expand... Kabisa mkuu Valencia mzuri sana maana anarudi na nyuma kuja kusaidia defence....
Papizo JF-Expert Member Joined Feb 24, 2008 Posts 5,249 Reaction score 2,156 May 4, 2011 #6,218 mfarisayo said: Rafael kwa sasa hivi amekuwa akiumia kila mechi sijui ana tatizo gani? Click to expand... Weekend acheze yule mwingine maana na yeye katulia sana.....huyu naona bado hajawa fit vizuri....
mfarisayo said: Rafael kwa sasa hivi amekuwa akiumia kila mechi sijui ana tatizo gani? Click to expand... Weekend acheze yule mwingine maana na yeye katulia sana.....huyu naona bado hajawa fit vizuri....
mfarisayo JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 5,160 Reaction score 2,004 May 4, 2011 #6,219 smalling hawezi kabisa kujiposition
mfarisayo JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 5,160 Reaction score 2,004 May 4, 2011 #6,220 anderson bwana