Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yeah. Una uhuru wa kuongea matakwa yako pamoja na matusi.

Narudia tena kukwambia, ED hawezi kuleta mchezaji bila matakwa ya kocha. Na kudeliver kwa mchezaji inatokana na sababu nyingi ikiwa partnerships na formation ya timu. Na tatizo la midfield lipo united kwa zaidi ya miaka mitano.
Kuletwa kwa Pogba kumepunguza hilo tatizo.
Membership ya Man Utd sio kazi yako kujua.
 
Mkuu nakubaliana na wewe 100%, umeelezea vizuri sana
 
Safi sana mkuu, kuna watu humu hawataki kusikia mawazo ya wenzao, wao hujifanya wanajua kila kitu, kila mtu mungu kampa kipawa cha kutafakari na kuchambua mambo, sio lazima kila unachofiri wewe na watu wote wafikiri kama unavofikiri wewe, utasikia "ooh hama, mara una kasumba za mashaniki wa arsenal", utadhani yeye ana hati miliki ya kuishabikia na kuizungumzia utd pekee yake, acheni ujinga kila mtu ana mawazo yake huru
 
Hakuna sehemu yoyote nimekutukana ila kuna maneno nimeyatumia ku-symbolize baadhi ya tabia zako kutokana na baadhi ya hulka zako za hovyo na kudharau wengine kama zimevyoonekana kwenye replies zako ........



Mimi nipo huku tandale I'm nothing to any united on pitch or off pitch plans ...tunachofanya hapa ni kupeana habari na kuingia kwenye critical duscussions kuhusu team yetu... Na haitawezekana hata siku moja Mawazo yetu either yawe positive or negative tutweza kumfikishia Jose mourinho..... So tuache kudharauriana ... Kuwa negative kuhusu Manchester united haimaanishi huipendi Manchester united ... Na kuwa positive kuhusu Manchester si kweli eti hakuna changamoto ...

Mbona sijawahi kuwasikia mkimwambia Paul scholes ahame timu ya Manchester kwa sababu miaka ya hivi karibuni amekuwa hakwepeshi.. Kwenye kosa anaongea na kwenye jema anongea http://www.dailymail.co.uk/sport/fo...-s-squad-Europa-League-defeat-Fenerbahce.html


Acheni watu watoe maoni yao.. Hamkuwalipia ada ya kuipenda Manchester united... Mwisho wa siku you are none to united ...



,.................
 
Mkuu hiyo hali IPO kuna watu wanajiona wao ndio mashabiki kindakindaki wa team hii kutoka huko viunga vya great Manchester,English Island ( England)....
 
Ok
 
Hivi hatuwezi kuwa na chama cha mashabiki wa timu yetu na wakaja kulifungua likwa tawi inchini kwetu? Najua inawezekana
 

kasahau kama manchester united tunahangaika fowad wa kuanzisha mashambuliz ya haraka timu inatakiwa icheze formation tofaut huyo rooey alikuwa na spid na ronardo wake sasa wakwap leo pale mawinga wa kupiga pas tatu had golin soko la mpira limebadilika bei mbape ni balaa wa monaco lazima kuwe na top striker mbele wa tatu au wawili na bai zao ni balaa pamoja na kutumia pesa manchester haijawah kupitisha msimu bila kombe anamsema pogba wakat kuna efl na europa tunaendelea.
 
ok kwahyo Mo dahoud ni suala la muda tu kutangazwa officially kuwa mchezaji wa dortmound,

mnakumbuka wale vikongwe kule mabingwa wa historia, loserfool walivotuaminisha kuwa soon or later atakua mchezaji wao?

ninacho jiuliza ni je wameshindwa kutoa hyo poun 10mill ambayo baadae itakuja kupanda na kuwa 14mill? Au mchezaji kawa shit? Au watatudanganya tena kama walivo fanya kwa texeira kwamba klapp kamkataa. HAHAAAAAA

loser will always be a loser
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…