The Bodmas
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 405
- 403
Manchester united timu yangu ndio naona inaelekea kaburini hivyo ... Sioni transfer zake kama ni za technical demands... Recently transfer za Manchester utd zimekuwa na malengo ya kisoko zaidi kuliko ufundi... Angalia pia hata usajili wa Pogba ..
Neymar anapalilia kuongezewa mkataba mpya ni ujanja unaotumiwa na mawakala ili mchezaji aongezewe mkataba,hii sio mara ya kwanza kufanya huo mchezoManchester united timu yangu ndio naona inaelekea kaburini hivyo ... Sioni transfer zake kama ni za technical demands... Recently transfer za Manchester utd zimekuwa na malengo ya kisoko zaidi kuliko ufundi... Angalia pia hata usajili wa Pogba ..
Najua nitapingwa saaaaana ila huu ndio ukweli .... Sidhani kama mourinho kwenye orodha ya wachezaji anaowataka kichwani mwake huyo neymar yumo...
CEO wa manchester inabidi abalance mambo. Tangu aondoke CEO David Gill Manchester united usajili wake umekuwa umeeegea zaidi soko... Ed Woodward kama CEO wa sasa aige utashi wa David gill alifanikiwa kufanya transfer za hatari uwanjani na sokoni tena si kwa kusajili majina makubwa....
Please Ed Woodward jaribu kubalance mambo, epuka kujikita zaidi kwenye malengo ya kisoko huku ukiacha timu ikienda na maji... Watu wanahitaji mataji na kumaliza ndani ya top four ... Sajili wachezaji wa kufanikisha lengo hili..
Wengi mtasema kwani neymar hawezi kuifikisha team top four ??? Anaweza. Ila kwa team yetu haimuhitaji messi, ronaldo wala neymar... Tunahitaji squad reshufle ya wachezaji kuingia kwenye mfumo wa mourinho..
Fuatilia ujue huyo David Gill na Peter Kenyon walivunja rekodi kwa wachezaji wangapi.Manchester united timu yangu ndio naona inaelekea kaburini hivyo ... Sioni transfer zake kama ni za technical demands... Recently transfer za Manchester utd zimekuwa na malengo ya kisoko zaidi kuliko ufundi... Angalia pia hata usajili wa Pogba ..
Najua nitapingwa saaaaana ila huu ndio ukweli .... Sidhani kama mourinho kwenye orodha ya wachezaji anaowataka kichwani mwake huyo neymar yumo...
CEO wa manchester inabidi abalance mambo. Tangu aondoke CEO David Gill Manchester united usajili wake umekuwa umeeegea zaidi soko... Ed Woodward kama CEO wa sasa aige utashi wa David gill alifanikiwa kufanya transfer za hatari uwanjani na sokoni tena si kwa kusajili majina makubwa....
Please Ed Woodward jaribu kubalance mambo, epuka kujikita zaidi kwenye malengo ya kisoko huku ukiacha timu ikienda na maji... Watu wanahitaji mataji na kumaliza ndani ya top four ... Sajili wachezaji wa kufanikisha lengo hili..
Wengi mtasema kwani neymar hawezi kuifikisha team top four ??? Anaweza. Ila kwa team yetu haimuhitaji messi, ronaldo wala neymar... Tunahitaji squad reshufle ya wachezaji kuingia kwenye mfumo wa mourinho..
Nakubaliana na wewe unataka kusema enzi za Kenyon na David Gill waliweza kuvunja record kuipita Madrid !!!!!?? ...Fuatilia ujue huyo David Gill na Peter Kenyon walivunja rekodi kwa wachezaji wangapi.
Kuna wakati soko huliepuki mkuu, demand ni kubwa kuliko supply. Wachezaji ni wachache kuliko mahitaji.
Fikiria kungekuwa na wachezaji 20 wenye uwezo kama Pogba, bei yake ingekuwa kama ilivyo?
Pia, kumbuka kocha ndo anaehitaji mchezaji, Woodward ndo anaenda sokoni kumchukua huyo mchezaji.
Hajinunulii tu.
Briliant. I love the colour.
Nakubaliana na wewe unataka kusema enzi za Kenyon na David Gill waliweza kuvunja record kuipita Madrid !!!!!?? ...
Sir Alex furguson na CE's wake wote Tangu mwaka 1986 transfer zao zote zilijikita kwenye tecnical demand kuliko marketing demand.... Japo Kuna Vipindi alimwaga hela ila hiyo hela ilirudi kwa mafaniko tulioyaona uwanjani....
1. Wayne Rooney alivunja record ya kusajiliwa kwa fedha nyingi akiwa na umri mdogo... Tunaona mafanikio yake uwanjani ... Amecheza fainali tatu za uefa na moja tukabeba ndoo.. Najua unaukumbuka usiku wa Moscow vs Chelsea ....
2. Dimitry Berbertov alisajiliwa kwa hela ndefu akitokea Tottenham .. Nina imani unajua vikombe vingapi ametuwezesha kubeba..
3. Rio Ferdinand alisajiliwa kwa hela ndefu na kuwa beki ghali duniani kwa muda ule.. Hakuna shabiki wa utd anaejua mchango wa huyu MTU pale utd... Kacheza fainali tatu za uefa akipacha na Komeo Nemanja Vidic...
Hii ni mifano michache ya transfer za utd enzi za David Gill zikivyokuwa zimejikita kwenye Technical demands kuliko market demands ambapo wachezaji wanaosajiliwa na CEO wetu mpya wanakuja kuiwezesha Manchester utd kung'aa zaidi sokoni kwa kuuza jezi na bidhaa zingine za timu...
Woodward sioni kama Nafasi ya kuwa CEO inamfaa. Jamaa ni mzuri sana kwenye soko ... Ila coordination yake na kocha kuleta vyombo uwanjani sijaiona..
Na muambie ivi Ed ni master wa marketing yeye anajua mno kunegotiate contract na wakala na mchezajiFuatilia ujue huyo David Gill na Peter Kenyon walivunja rekodi kwa wachezaji wangapi.
Kuna wakati soko huliepuki mkuu, demand ni kubwa kuliko supply. Wachezaji ni wachache kuliko mahitaji.
Fikiria kungekuwa na wachezaji 20 wenye uwezo kama Pogba, bei yake ingekuwa kama ilivyo?
Pia, kumbuka kocha ndo anaehitaji mchezaji, Woodward ndo anaenda sokoni kumchukua huyo mchezaji.
Hajinunulii tu.
Sasahivi kuna scarcity ya wachezaji hasa wanaocheza kwenye key position, specifically strikers.Na muambie ivi Ed ni master wa marketing yeye anajua mno kunegotiate contract na wakala na mchezaji
Kwenye soko la kununua wachezaji jamaa hanaga mbinu huko kabisaaaa na ndipo hapa gill alipopatia sifa kubwa sana duniani
Sawa nakubali Mimi naishi Tanzania ( sub sahara country)... Sijui wewe mwenzangu mungu kakubaliki unaishi wapi ... Naona badala ya kujikita kwenye kwenye hoja umeanza personal attacks kama kama mwanamke Malaya.. Kuwa kama mwanaume halisi sio maneno ya kipuuzi ....We usituzingue. Upo Sub Saharan Africa tena Third World Country ambayo hata haifahamiki kwahiyo huna haki ya kujudge uCEO wa Ed wakati waliomchagua wanafanya nae kazi kila kukicha na wanajua uwezo wake.
Kuwa na impact kwenye transfer market ni jambo la muhimu kwa timu kubwa kama Manchester United. Kuvunja rekodi sio lazima iwe Madrid au Bayern.
Technical demand ipi unaiongelea? Toka wakati wa SAF timu ilikuwa na tatizo la midfield, makocha wote waliofuata baada ya SAF bado hilo eneo liliwasumbua.
Morinho amekuja ameanza kuleta uhai kwenye timu kuanzia beki hadi midfield. Tatizo la ushambuliaji limejitokeza msimu huu pamoja na kumleta Zlatan still tatizo lipo na ndo kazi ya kocha kumwambia Ed anamtaka mchezaji yupi kuziba hilo pengo.
Pobga amekuja ndo kwanza amemaliza msimu wa kwanza, unamlinganisha na kina Rio, Rooney, Berbatov waliokaa na kuonesha matokeo baada ya misimu mitatu na kuendelea.
Management, Board na Benchi la Manchester sio wajinga kutoa hela zile kwasababu wanajua uwezo wa Pogba na wamekaa nae msimu mzima.
Sasa inakuaje unaanza kulalamika hakuna Usajili wa Technical? Unadhani Ed anaamka kwenda sokoni bila kupewa list na Morinho?
Manchester United ni club kubwa duniani, hatujazoea kuishi kimasikini. Mambo ya kununua wachezaji kama Arsenal na timu ndogo tumeshaacha nao.
Pesa ipo, mchezaji analeta matokeo, jezi anauza, na TV rights zinaongezeka.
Unakua kama hujui biashara?
Pogba alirudisha hela ndani ya week, sahivi tunakula faida tu na uwanjani anadeliver.
Midfield ya Herera, Pogba imeanza kutulia, tumebaki kuongeza nguvu kidogo kuwe imara zaidi. Ushambuliaji nako kuna tatizo, tunahitaji washambuliaji wawili wa kuziba hiyo nafasi. Beki nako kuna nyufa za Smalling zinatakiwa kuzibwa.
World class strikers wapo wachache sana kwahiyo sitashangaa hata huyo Griezman akauzwa £100M na utanunua tu kwasababu huna option na hakuna timu ya kueleweka ambayo watakuuzia strikers. Ni sawa na mkulima akuuzie ng'ombe anayemletea maziwa kila siku.
Hadi hapo Morinho na Ed wamefanya kazi kubwa.
Kaka mou sio bwege kumpa nafasi daily smalling maana naamin huu ni msimu wake wa mwisho kuwa first eleven pale nyumaLakini pia mnapojadili hilo mkumbuke na mkataba wa Adidas,unataka kusajiriwa wachezaji wenye majina makubwa ,timu kucheza uefa na km mnakubuka tusipocheza uefa wanapunguza asilimia 3% ya ufadhili wao .
Pia niseme tu kwamba neymar ni mchezaji ambaye anamchango mkubwa tu, mm pengo ninaloliona kwa sasa hatuna strike mwenye njaa ya magoal pamoja na beki wa kumuweka bechi smalling na katikati pogba anazindi kuimalika mm naamini kabisa msimu ujao pogba atakuwa poa sana
Najua kibiashara pia timu inahitaji watu kama hawao .