Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Baada ya siku 104 leo ndo mmefanikiwa kutoka nafasi ya sita
ina maana mpaka mfike nafasi ya nne, itawagharimu siku 104 tenaa
kweli mnae kazi hongerenii.
 
International break inakuja. Weekend ijayo hakutakuwa na EPL game. Mechi yetu inayofuata ni 01/04 vs Wes Brom nyumbani OT.

Afadhali wachezaji wapate mapumziko kidogo.
 
Pamoja nakuondoka nafasi ya sita, sioni kama tuna timu ya kupigana kuingia top four, badala yake naona tumeondoka kwa muda tu hiyo nafasi ya sita, wiki 3 zijazo uhakika tutakua nafasi ile ile ya 6 kama sio ya saba, hasa ukiangalia ratiba tulionayo, timu nyingi tulizobaki nazo ni ngumu na tunacheza nazo bila kupumzika
 
Hamia kwa hao wanaojua kupigania top four hujalazimishwa kushabikia UNITED unazidi kujiongezea stress
 
Hamia kwa hao wanaojua kupigania top four hujalazimishwa kushabikia UNITED unazidi kujiongezea stress
Duh mkuu hayo ni maoni yangu si lazima ukubaliane nayo, kama hupendi kusikia tofauti na unavoona wewe, hama wewe, mimi sio mshabiki maandazi kama wengi wenu humu walivo
 
isn't great as anyone can think of.
tutakua na mechi TISA ndani ya mwezi mmoja tu
tar 1, 4, 9, 13, 16, 20, 23, 27, 30

Its not looking good at all
Mechi nne za mwanzo hazina shaka sababu tutakuwa tumerudi vizuri ila kuanzia ya tano ndio mtihani but tusiwe na Shaka EPL ni kuwepo top 4 only tusiwe na wasiwasi juu ya JM
 
Jamaa kaongea ukweli kabisa alafu wewe unaleta maneno mingi apaa ...mechi mlizobakiza mkishinda apo ni mbili tu. Nyingine mnaekwa kama kawaaa
Hawapendi kuambiwa ukweli, kama mechi za kawaida kina bounimouth, banley, stock city westham tumeshindwa kuondoka na point, utarajie chelsea, man city, spurs, everton, arsenal utachukua point? Shida ya mashabiki wengi humu wa man utd ni watoto, wameanza kuishabikia united kuanzia mwaka 2011
 

Bonley
Stock City
Bounimouth

Hizi timu za nchi gani kwanza ?

Content unayoandika hata walioanza kushabikia United mwaka 2011 wana afadhali
 
Bonley
Stock City
Bounimouth

Hizi timu za nchi gani kwanza ?

Content unayoandika hata walioanza kushabikia United mwaka 2011 wana afadhali
Ndo akili yako ilipoishia apo, kukosoa spelling ndo kitu unachojua, hata hivo naona mengine umenilisha, spelling kwako ni big issue kama tunajifunza dictation vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…