Kwa hiyo Mkuu umeona Sammata siyo Mtu kwani Baada ya UEFA Cup kikombe kinachofuata kwa ukubwa ni hicho kwa Ngazi za vilabu Sina uhakika ila Nadhani hata Zawadi zao hazina tofauti Kubwa.
Faida nyingine Mshindi wa Europa cup atakutana na Mshindi wa UEFA cup Hakuna timu Ndogo Ulaya mkuu
Totenham anasumbua pale Epl ila muulize UEFA pamoja na Europa cup kaishia wapi.
Acha tujipange kwa ajili ya hao Wabelgiji.