Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii gemu ilikuwa ni ya mashambulizi sasa refa kaigeuza na hii red card imekuwa mechi ya kuviziana kama gorrila warfares
Sana mkuu!

Ila fellaini anatakiwa adeal sana Hazard ...Hazard anafanya dribling mbele ya kina Smalling tuu wanamwangalia...

Mipira mingi ni ya kufanyia marking mwwnzo kabisa kabla ya kumfikia Hazard..! Otherwise akiwa na mpira mtu awe naye..

That idiot should never play free!
 
Sisi watu wa Chelsea Mou tunamjua na tunajua anachezqji mechi kama hizi, kwa Mou mechi kama hizi lazima mchezaji wake apigwe red
 
Msife moyo Mungu yu pamoja nasi Leo tunamuondoa Chalse tukiwa 10.
 
Ndio matizo ya kuwa pungufu, pengo la mchezaji mmoja linaonekana dhahiri kwenye making
 
Itabidi wajiulize kwanini waliwaruhusu Chelsea wawachezee muda mrefu nusu uwanja na wachezaji WS kati wa Manutd hawakubaki katikati kumlinda kipa
 
Bao la pili kutokea hapohapo katikati kwani akina Pogba na Fellaini hawabaki eneo hilo
 
Back
Top Bottom