Dirham
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 490
- 543
SureNever give up!!
SureNever give up!!
Hazard dived.Red card dhidi ya Herrera kwa faulo ya kwa Hazard ndiyo gumzo
Man u mmeharibu mpira wenyewe. Leo mou kawaelekeza mkacheze rafu tu.That’s the spirit ila refa kazingua sana.
Reaction ya mourinho imekuwa tofauti sana naona anacheka tuRed card dhidi ya Herrera kwa faulo ya kwa Hazard ndiyo gumzo
Hata faulo ya kwanza ni utata!Red card dhidi ya Herrera kwa faulo ya kwa Hazard ndiyo gumzo
Rafu zenu hamzioni.Refa kaharibu mechi. Mechi kama hizi Fergie alikuwa anasema inabidi zichezeshwe na strong referee!
Endeleeni n.a. rafu sisi tunacheza boliHata faulo ya kwanza ni utata!
Ukiangalia vizuri utaona intention ya Hazard kabisa...
Alishatoa pasi tayari...na Herreza alikuwa amefocus kufuata mpira but on the spot Hazard anajigonga kwa Herrera..
Mkuu umeangalia mpira?Rafu zenu hamzioni.
Anaona ni uamuzi onevu kwa hiyo ni kicheko cha kumsaga refaReaction ya mourinho imekuwa tofauti sana naona anacheka tu
Siko hapa kishabiki.Rafu zenu hamzioni.
Hii gemu ilikuwa ni ya mashambulizi sasa refa kaigeuza na hii red card imekuwa mechi ya kuviziana kama gorrila warfaresHata faulo ya kwanza ni utata!
Ukiangalia vizuri utaona intention ya Hazard kabisa...
Alishatoa pasi tayari...na Herreza alikuwa amefocus kufuata mpira but on the spot Hazard anajigonga kwa Herrera..
Refa amekuwa mwepesi sana kitoa zile kadi..Hata faulo ya kwanza ni utata!
Ukiangalia vizuri utaona intention ya Hazard kabisa...
Alishatoa pasi tayari...na Herreza alikuwa amefocus kufuata mpira but on the spot Hazard anajigonga kwa Herrera..
Acha ushabiki rafu zipi za kupewa red? Rashford kashikwa hakuna card sasa huoni?Rafu zenu hamzioni.