Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Daaah basi tena....ntaangalia tu mechi kwa kuwa naipenda timu lakini hawa wawili kukosekana ni pengo kubwa sana
Angalia tu asee kwa sababu mna injury tutawapa unafuu back line atacheza ike,terry, Zuma na tutampumzisha fabry atacheza matic yule anae tokea benchi,na Pedro atapumzika atacheza willian yule mchezaji wa akiba
 
Nawaza sana hii game ya Leo harafu ukizingatia hakuna maridiano hata mkitoka sare/draw yani lazima Mshindi apatikane ....Leo majnga kweli ila mungu saidia GGM
 
Yah mkuu nikiwa na muda wale wakina falcao, cavan, lacazette, ballotelli wananifanya nijikute naangalia ile ligi... .. Hata italia naangalia wale wakina Icardi, banega, dybala, immobile, dzeko wanang'ara sana....
uyo icardi jana alikichafua vibaya sana anatufaa manchester united
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…