Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Liverpool wanahitaji sare kututimulia vumbi ingawaje hayo yatakuwa matokeo mazuri kwetu
 
Niliwahi kusema nafasi ambayo anapangwa zlatan, angepangwa wazza mara mia angetufikisha mbali, nikaambiwa nipunguze mahaba na captain
Nakumbuka hiyo post.. Nilikuunga mkono.

Zlatan anakosa magoli mengi kuliko anayofunga

Leo nimeshangaa sana kocha alivyomtoa Rooney na kumuacha Zlatan wakati alikuwa anapoteza mipira muda wote
 
Kwa kweli tunahitaji mkesha wa maombi

Hivi ndio tumecheza utumbo gani?
Tumechezea nafasi ngapi?
Yan kiukweli Mou ni kocha mzuri ila wachezaji ndio wanamuangusha,

Tukishindwa kuingia top 4 ni kwa sababbu ya upuuz wa wachezaji, na sio kocha,

Ibra ni mzuri ila nashauri msimu ukiisha aende tu, kwa maana haoneshi kuwa na ile kiu ya magoli kama Diego costa au Romelo Lukaku..

Kama hali ni hii basi tutafia hapo namba 6,

Lets hope game ijayo itakua njema,

Ila leo ndio siku ambayo man u wameharibu siku yangu vibaya kama siku tuliofungwa na chelsea.
 
Manutd wanahitaji winga wenye kasi ili kudhoofisha ngome vinginevyo ufungaji utakuwa wa kusuasua
Sikubalian nawe mkuu swala la wing noooooo we need striker ebu angalia chance tuliyokosa ya kwanza file martial anapiga ndani ya kumaliza anaweka mapaja sijui magoti ibrah weeee needed forward we needed that this is bull shit
 
Nitaumia zaidi msimu ujao endapo ntaendelea kumuona zlatan akiwa pale mbele kama tegemezi sababu magoli anayokosa ni mengi kuliko anayofunga
Huyo jamaa yenu mbona hamna kitu.
Na FA lazima wamu adhibu. Anacheza ujinga tu. Halafu mbona kama analazimishwa hivi!?
 
Hahahahaha mpira sio maneno ...
timu mbovuuu
na mfanye maandalizi mapema next game FA hampooooo
 
Nitaumia zaidi msimu ujao endapo ntaendelea kumuona zlatan akiwa pale mbele kama tegemezi sababu magoli anayokosa ni mengi kuliko anayofunga
Juzi tu kakupa efl... Leo unamuona box
 
Sure bro duh weekend imeharibika hivi hv sion mana ya kwenda kuangalia mechi ya liver tena
Mi naangalia kwa sababu nisha zoea.
Lets wait and see, tutaona mwisho wa msimu
I hope in the end we wont remember the home draws at home against
Hull, b'moth, burnley, mid'brough and such kind. I hope hatutajutua
 
nafasi ya 6 tutakuwepo tu kwa muda ila nina uwakika kabisa mpaka msimu uishe mwezi wa 5 hatutamaliza na nafasi ya 6, tutatoka hapo.
 
Thats what we suppose to accept... GGMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…