Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Haya siyo mafanikio madogo ukizingatia masare kibao tuliyojivalisha wenyewe kwa makosa madogomadogo ya hapa na pale
 
Kazi ya Woodward ni kutoa fedha kama kocha akimtaka mchezaji na akafanikiwa kumshawishi,LVG alimtaka Muller Woodward alikuwa tayari kutoa £ 85m lakini Muller na Bayern wote walikataa,unafikiri bila Mourinho Pogba na Ibrahimovic wangetua United ?

Pep aliwashawishi Sane,Bravo,Nolito,Gundogan,Jesus kutua Man City

.Moyes alishindwa kuwashawishi Herrera,Fabregas,Thiago,Baines
 
Manutd, Mancity, Arsenal na Southampton tu ndizo zimecheza mechi moja pungufu wakati wenzao wamecheza
 
Hizi ni habari kwa Liverpool ambao wakifungwa Leo na Arsenal Champions league itaota mbawa hata draw ni habari mbaya kwao
 
LA ajabu, Liverpool imefunga mabao 55 sawa na Chelsea tatizo wanaruhusu mabao mengi kufungwa
 
Tottenham na Liverpool ndiyo timu mbili zinaelekea kuikosa Champions league.
 
Ili Chelsea wasiwe mabingwa wanahitajika watoe sare tano au kupoteza mechi tatu na sare moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…