Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahaaaaaaaaaaa.... Nilishangaa mtu muhimu kama wewe kukosekana humu hasa kwa jana kumbe ni mambo ya network?? Pole sana mpenzi.. BTW kupanda kwenye miti usiku kwa mwanamke sio vizuri ujue
 
Tuko pamoja.
 
Hahaaaaaaaaaaa.... Nilishangaa mtu muhimu kama wewe kukosekana humu hasa kwa jana kumbe ni mambo ya network?? Pole sana mpenzi.. BTW kupanda kwenye miti usiku kwa mwanamke sio vizuri ujue
Weeeeeeeee!!! Ningewezaje kulala siku ya jana bila kucoment humu hahhahaha hata bodaboda ningekodisha niende sehemu ya network,usijali dear nilikuwa na kamulinzi kananiangalia.....yaani ungeniona jana nilivyokuwa nahangaika ungecheka kama kuku anayetaka kutaga.
 
Asante sana best anguuu!!! Kazana na wewe msitoke kapa msimu huu ohhhhh umeshau ajidhaniaye amesimama............!!!
Msimu huu sidhani kama ntatoka kapa best, nakazana isiwe hivyo. Si unajua mimi nawe bado kukutana mara mbili kama sio tatu.
 
Ila best akili zako wewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…