Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Kajitaidi mbona hata move yake ndo imesababisha goli la tatu..fainali likini sio game ndogo hii wakuu..martial leo kazingua mno hakuwa vizuri
Swadakta utani upo na vijembe vya hapa na pale na sio maneno yenye ukakasi na lugha chafu za dhihaka michezo ni furaha na si karaha pamoja sana ndugu yangu.Shukrani sana Mkuu haya majukwaa yanapendeza sana tukitaniana na kupongezena pale inapobidi kufanya hivyo vinginevyo ushabiki humu utakuwa hauna maana na haya majukwaa yatapooza Mkuu.
nitaangalia marudio kesho . ah mambo ya mpira nikajua lolote laweza kutokea nikajisemea nitaangalia matokeo tu.Yaani hukuangalia dah! umekosa mechi nzuri sana yenye ushindani. Nilidhani wataongezewa 30 minutes lakini Ibra akafanya majambo yake.
nitaangalia marudio kesho . ah mambo ya mpira nikajua lolote laweza kutokea nikajisemea nitaangalia matokeo tu.
HAHAHAHAHA majiran wamenunaKombe mbuzi...kombe kondoo....kombe woreva... we don care........another history has been writtten weraaaaaaaaaaaa
navyoipenda Man Utd acha tu, afu mambo ya mpira sa nyingine uwa hayatabiriki. ila sasa nitalala usingizi mnono.Hupaswi kuwa na hofu wakati Kocha ni Mourhnio
kweli lakini, ila sikuwa na uwezo wa kuangalia aiseee sijui kwanini kamoyo kalikuwa kanadunda tu .Ok lakini mpira raha yake live wa kurudia huwa haunogi, mie nilijaribu kurekodi baadhi ya mechi siku za nyuma ambazo majukumu yalinifanya nishindwe kuziona wala haina raha kama ukiona live.