Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bao hili la TOBOOOO..naomba nili dedicate kwa Michelle....Lol! naomba kupita na mm katkat....kheheeeeee!

kazi kweli kweli.....goli la tobo nalo si goli jamani au is it less of a goal? thanks....he he he he.....mkichukua kombe ruksa....l.o.l

hongereni sana jamani....am happy for you...9t 9t
 
Aya....asanten Wanga wetu wte, tunguli zenu zimekuwa very insipring..am looking forwrd mje nazo Emirata j2...
Kuna mwenye swali?

Alamsiki!

Watatoa wapi wakati imekula kwao maana walitaka tufungwe hahaha
 
sishangilii mkuu...tuko pamoja....dawa zimeisha nguvu vibaya,within a minute wana goli mbili....kazi ipo!

Poaa poaa, ningejua toka mwanzo hawa jamaa maboya nisingetumia dawa zetu kwao ningepeleka nguvu zote jumapili.

Jumapili si utakuwepo jukwaani kule kshuhudia tunavyowa kichapo hawa?
 
kazi kweli kweli.....goli la tobo nalo si goli jamani au is it less of a goal? thanks....he he he he.....mkichukua kombe ruksa....l.o.l

hongereni sana jamani....am happy for you...9t 9t

Naona leo utalala vizuri sana
 
Haya wakuu hongereni kwa ushindi na ilikuwa furaha kujumuika pamoja jukwaani kama kawaida yetu.

Tukutaneni jumapili.usiku mwema wote.
 
Wacha1 mkuu naona umefurahi sana MAN U kushinda.....jumapili unakaribishwa hapa kuweka ma pics naona leo umekataa.....
 
Nilikuwa nachanganya habari tu mkuu lool
Hahah mkuu najua wewe huna mechi za katikati ya wiki kwa hiyo ukimaliza moja unaangalia ya weekend...

Jamani Schalke walikuwa wanashangaa wanacheza na Man Utd, kweli hii ndio timu ya iliyoipiga Inter 7-3 (agg) I guess sio kila siku unaweza kuperform vizuri.. All in all good results hakuna majeruhi we didn't struggle...

Mguu mmoja ndani ya final, wiki ijayo tunaingiza wa pili. Watani especially Michelle (winking) na AW ahsanteni kwa kutukeep company ingawa mlikuwa mnaombea tufungwe siwezi kuwalaumu maana ndio ushabiki wenyewe huo ati. The worst Man Utd team my ass, we could be under par lakini tuna resilience ya kufa mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…