Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Ni katikati dakika mbili za majeruhi
Duh! We mnyama kweli. Amefunga kama ulivyo sema
Upo swahihiLingard off roone in , rashford in martial off, mata off carrick in , apo timu ndo itatulia bila hivo soton wanachomoa hata dkk 70 haofiki . Pogba sio defensive miidle akipanda anachelewa kurud kiungo hakitulii
Nasikitika naikosa match hii muhimu, nipo home, namtumia Dst Compact package, eti hawaonyeshi, mpaka mwenyewe S3 ambayo IPO kwenye compact plus. Nasikitika, ushindi mnono huu jamani.
Stream like www.atdhe.com au www.firstrow.com au unaweza endz google seach atdhe au firstrow utachek mpira kama upo vibanda umizaNasikitika naikosa match hii muhimu, nipo home, namtumia Dst Compact package, eti hawaonyeshi, mpaka mwenyewe S3 ambayo IPO kwenye compact plus. Nasikitika, ushindi mnono huu jamani.
Sasa si iwe furaha kwako, kwa kuwa Soton watashinda kwa defensive mistakes za United?Palee manure akuna defensive alf rojo mbovu kwa beki ya kushoto bora ata blind na tatizo la moo hataki kumwamin luke shaw yule n mzuri kupanda kurud