Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
Ha ha..nilijua depression bado na majonzi ya Arsn!!nipo, sijajificha wala nini... niandalie hiyo CPR ila unaweza usiitumie leo!! mwendo mdundo mechi hii!!
hili jamaa lililovaa sijui nini usoni linaona kweli au ndo namna yake ya kukaba? Chicharito tulia....l.o.l:smile-big:
<b><font size="4"><font color="darkred">Wakuu vipi hapa nani anafungwa? khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee</font></font></b>
Wakuu vipi hapa nani anafungwa? khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
ikichemka niite....l.o.l
BJ wa ukweli hana tabia za kusuta...Michelle ni wa Arsenal na Wolves.....lift nimepewa na honi nitapiga na CD nitabadili...vipi leo bundi yuko kwenu nini? manake magoli mliyokosa hata ingekuwa Arsenal yangu ingekuwa nayo 5....l.o.l