Gwakukahja
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 1,119
- 740
Hiz gem 4 lazima tutoboe kibabe... Tupge hao saint pale OT, tuwapge/draw Blackburn, tukienda ufaransa tukalinde ushindi wetu, turud wembley tubebe EFL, then tunapumua tukisubiri tumararue bournemouth pale nyumban... Wakati huo Liverpool na Arsenal wame draw.... Hii ndo epl GGMUFC
Ondoa shaka hiyo ni yetu!!......tutaingia tu hata kama ni kwa kutokwa jasho la damu.....Yani daah nimekuwa adimu saana.
Mambo fresh..... Naiota tuu nafasi ya top four
Manure ikirudishwa nafasi yake ya sita
Welbeck anaonesha akili za mtu mweusi tii mke kuachwa na mmewe akiwa bado anamzimia hana jins atulie tu huko kwa mzee wenger wapiganie nafas ya nne
HaaaaaaWelbeck anaonesha akili za mtu mweusi tii mke kuachwa na mmewe akiwa bado anamzimia hana jins atulie tu huko kwa mzee wenger wapiganie nafas ya nne
Kuna kitu mashabiki wa arsenal wananifurahishaga sana ukimwambia utakosa top 4 anawezakukung'oa meno mwambie wewe ubingwa huwez kuchukua kamwe wanafurahi balaa wenger katia mgonjwa mbaya.
View attachment 469846
Micheal Owen: "Ander hererra is the best ball winning midfielder in the league."
-RS
Huyu jamaa sio wa kawaida kwa kupora mipira hakina nguvu wala mbio ni skills tu kupata namba kwa mourinho kwa nafas anayocheza ni noma sana.
Muna Kila Sababu Ya Kumshukuru na Kutomsema Vibaya LVG kwa Sababu Ya Usajili Huu..... Sio Yule Aliyewaletea Fella.....
Huyu hakusajiliwa na van gaal alimkuta kishasajiliwa na wakina sir bobb chalton manchester united walipotolewa na athletic club europa sir alex alipigana sana kumsajili jama waligoma wakaambiwa warud mwakani walianza kumtaka kabla ya sir alex hajasepa
hatar sana huyu mtu nakumbuka alikuwa anakaa bench sana lakin mashabiki walikuwa wanaumia sna hawaamini kama kanatakiwa kukaa bench lakin van gal kocha alishindwa kumtambua chek mourinho alichofanya na kwa rojo tungeumia kwa van gaal
Aliwapigisha kwata scholes na giggs walicheza katikat game ya pili pale old trafod
Naikumbuka ile game ya Europa tulifungwa OT 3-2..Herrera, Fernando Lorrente, J.Martnez, dogo Munian walitutesa sana 1st leg...Nikajua wamebahatisha 2nd leg kwa kujiamini nikatipiaga stake ya kutosha tu(Bet), ***** tukalala tena..HATS OFF
Martinez anaozea benchi bayern hukoNaikumbuka ile game ya Europa tulifungwa OT 3-2..Herrera, Fernando Lorrente, J.Martnez, dogo Munian walitutesa sana 1st leg...Nikajua wamebahatisha 2nd leg kwa kujiamini nikatipiaga stake ya kutosha tu(Bet), ***** tukalala tena..HATS OFF