Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ngoja aje Bitoz
 
Tangu lini me wakawa na kipochi manyoya???
Wewe ndo wataka kunibadilishia jinsi yangu eeeeh??? Kweli no 6 imekuvuruga
 
Kila nikiminya inauma tu, alafu huyu [HASHTAG]#Mane[/HASHTAG] sio mtu mzuri aisee
 
Tangu lini me wakawa na kipochi manyoya???
Wewe ndo wataka kunibadilishia jinsi yangu eeeeh??? Kweli no 6 imekuvuruga
Hahahahahaha weee si umesema au nimekusingzia!!! Bana weee minya iwe tango,ndizi,karoti,kitumbua,pochi manyoya minys tu tupate majibu mubasharaaaa....... ila hiki cha leo cha arusha kimenichanganya!! Usinisemeee kwa konda mimi siko kny daladala lake
 
Kila nikiminya inauma tu, alafu huyu [HASHTAG]#Mane[/HASHTAG] sio mtu mzuri aisee
Hahahhaa vumilia kidogo tu italeta majibu mubashara tatizo wataalam wa kuminya ndo hawa hawa tunaowaombea njaa nahisi nao watakuwa wameminya balaa maana siyo kwa mkazo huu!!!
 
Kuwaombea hao hadi timu yetu imalizane na wakubwa wenzie ndo mana bila ya hivyo tutatwanga maji kwenye kinu.
 
Leo Tottenham kawa mtoto wa kambo hadhaminiki

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Kama nilivyosema yaani sometime wanakuwaga vilaza kweli hata hawafai.... ila duhh hongera kwake Liver kajua kuwatesa top four ila sisi ametushindwa,Chelsea kachomoa round ya pili sijui Arsenal ataweza? Man City?!!! Hapana chezea wazeee wa kukamia !!!
 
Hongera kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…