Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Khe khe kheeeeeeeeeee....ndo yale ya dua za kuku hazimpati mwewe au???????? [emoji87] huyu Money vepeeeee
 
Hahaaaaaaa nimecheka kwa sauti ujue[emoji23] mimi nina kipochi manyoya ebu ninong'oneze kinabinywaje[emoji85]
Duhhhh!!! Hahahahaha Kweli umeamua kuwapa Liver ushindi yaani unakana hadi jinsia yako?mimi mwenyewe hapa na kipochi changu nimeminya wewe hutakiii!! Nitakuja kukuminya kwa nguvu sasa.... na wakifungwa Totenham wanaume wa humu mtakuwa mmeniangusha maana hii dawa very applicable for men ndo inaleta majibu mubashara[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…