I salute that goalkeeper........mshauri baba yako AW aache ubahili basi....achukue vijana wa ukweli
yaani MAN U leo wanachekesha.....em tusubiri hicho kipindi cha pili
I salute that goalkeeper........mshauri baba yako AW aache ubahili basi....achukue vijana wa ukweli
yaani MAN U leo wanachekesha.....em tusubiri hicho kipindi cha pili
I salute that goalkeeper........mshauri baba yako AW aache ubahili basi....achukue vijana wa ukweliyaani MAN U leo wanachekesha.....em tusubiri hicho kipindi cha pili
Hana lolote huyu kipa anabahatisha tu, ka mnabisha subirini 2nd time.,
Check alichemka atakuwa huyu..., thubutuuuu, hawa ndo Mashetani tena wekundu...!!
Kipa ananikumbusha jinsi Ronaldo alivyokuwa anaperform wakati tunacheza nao kabla hatujamnunua...!!Ataachia tu subiri utaona mkuu maana kawasaidia sana...
Ahaa ahaa lol1st half ilikuwa romance...
2nd half tunakula mzgo kilaaaini....
1st half ilikuwa romance...
2nd half tunakula mzgo kilaaaini....
Kalale mama...kesho siku kazi..sikukuu zimeisha ka hujui, shaur zako...chelewa kazn kesho uandikiwe kimemo.
<p>
Karibu first lady wetu wa ukwel...nakwambia kuna shosti anaitwa Michelle kaomba lift na honi anataka kupiga...apa yupo kubadili CD kwa gar....wa wap hyu?, njoo umsute mama...
Umejitokeza? Haya ngoja mie nijiandee ku-perform CPR na mkoba wangu wa first aid huko karibu kwahio jiachie tu lol.