Kuna mtu nilimwambia Jana whenever arsenal loose Liverpool loose tote we awes follow their lead jaman Leo ndo nimeamini wewe nafasi ya sita haiuzwi epuka matapel
Sure mzee kwel pogba ndo alistahili kutoka unamtoa carras el maginifico kabisa unawapa nafasi ya Hull kukuishika midfield unategemea ushinde that's insane my brother mourinho
Kocha anapaswa kufanya maamuzi magumu Pogba,Zlatan wamekuwa mzigo kwenye timu wanapaswa kuanza benchi kwa sasa,Rashford hana impact yeyote akicheza winga,Martial ndio best winga tuliye naye anapaswa kuanza
Sure mzee kwel pogba ndo alistahili kutoka unamtoa carras el maginifico kabisa unawapa nafasi ya Hull kukuishika midfield unategemea ushinde that's insane my brother mourinho