Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
Mh! Cesc na Pedro je? Hawakuwepo South Africa kweli?Timu pekee katika ligi ya Uingereza yenye mchezaji aliyewahi nyanyua World Cup na bado anacheza mpira...
Mh! Cesc na Pedro je? Hawakuwepo South Africa kweli?Timu pekee katika ligi ya Uingereza yenye mchezaji aliyewahi nyanyua World Cup na bado anacheza mpira...
️
️
️
️
️
Nipo nchi mojawapo ya kiarabu leo, na ndio nimeangalia hii mechi yetu na Wigan baada ya mikki kufunga lile goli nilimsikia mtangazaji akisema "asalam alykum mkhitaryan " Kama vile ambavyo sisi tungesema shikamoo mkhitaryanMkhitaryan.ni mchezaji ambae nilimuona kiwango chake na kumkubali tangu akiwa BVB.nilishangaa mou kumuweka benchi.
Nilijua lazima ukurupuke... Sijataja jina la mchezaji wa jina la timuMh! Cesc na Pedro je? Hawakuwepo South Africa kweli?
FA cup drawAcha tusubili drop ya FA kesho SAA NNE ucku ss5 ili tujue tutapangwa na Nani ,,na je game home au ungenini ?
Timu pekee katika ligi ya Uingereza yenye mchezaji aliyewahi nyanyua World Cup na bado anacheza mpira...




Braza, wewe ulisema kwamba United ni timu pekee EPL yenye mchezaji aliyebeba WC na bado anacheza. Mimi nikakuuliza kwamba, je Cesc na Pedro hawakuwepo kwenye WC ya 2010 ambapo Spain ilishinda.Nilijua lazima ukurupuke... Sijataja jina la mchezaji wa jina la timu
Timu gani hio?!Timu pekee katika ligi ya Uingereza yenye mchezaji aliyewahi nyanyua World Cup na bado anacheza mpira...
FA cup draw
1.Tottenham Hotspur vs Manchester United
2. Derby County or Leicester City vs MillWall
3. Oxford United vs Manchester City
4. Sutton United vs Middlesbrough
5. Wolverhampton Wanderers vs Fulham
6. Arsenal vs Blackburn Rovers
7. Lincoln City vs Burnley
8. Chelsea vs Huddersfield Town
Nahisi itakuwa ivi..................!!!!!!!!
Ozil hakuwemo kwenye squad ya /ujerumani iliobeba kombe?Braza, wewe ulisema kwamba United ni timu pekee EPL yenye mchezaji aliyebeba WC na bado anacheza. Mimi nikakuuliza kwamba, je Cesc na Pedro hawakuwepo kwenye WC ya 2010 ambapo Spain ilishinda.
Sasa kukurupuka kwangu kuko wapi?