Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mfarisayo naona ushafika jukwaani mapema sijui wewe ndio umetumwa kuja kufukia tunguli leo hapa na mkuu Manda ha ha ha.

BJ yeye anapenda kujificha mpaka mwisho mwisho sijui ana ugonjwa wa presha lol. Eqylpz atabiriki na Belo toka awe na avatar yake ya Webb hana wasi wasi na matokeo anajua yapo mikononi mwa refa.
 
Germany teams the grave yard for Manure! khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Wakuu kwenye CL hamna uwezo wa bahasha inabidi mcheze mpira sio kubebwa tena khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee lakini naona siku zenu zinahesabika.
 
List ni kama ifuatavyo,
Starting: Van der Sar, Fabio, Vidic, Ferdinand, Evra, Carrick, Giggs, Valencia, Park, Rooney, Hernandez.
Bench: Kuszczak, Evans, Rafael, Smalling, Anderson, Scholes, Nani

Naona gaffer kaamua kwenda na list ya mashambulizi, I am surprised Owen hayuko kwenye bench oh well.
 
Niko hapa mkuu sema hii mechi inanipa wasi wasi sana kuliko ata ile ya Chelsea.
 
LEO NDIO ILE MECHI YA KWNZA YA NUSU FAINALI YA UEFA CHAMPION KATI YA SCHALKE 04 (GERMANY) Vs MAN UNITED (ENGLAND) TIME YA GAME 3:45 pm.

Hapo kwenye nyekundu umenichanganya mkuu na sasa naangalia agape tv sioni kitu. Msaada tafadhali.
 
Waungwana mnafikiria Van Der Sar ataongeza mwaka? Maana kwenye interview yake na Sky Sports alivyoulizwa akajibu "Next question please" natumaini ataongeza mwaka mmoja zaidi.
 
AW

Punguza kuwanga kaka! hahahaha! apa nilikuwa na vimeo vya ofcn lakn bosi atajiju kesho, tukishinda nakesha hadi viishe, unles otherwise kesho natafuta ED mapemaaaaa!
 
Hapo kwenye nyekundu umenichanganya mkuu na sasa naangalia agape tv sioni kitu. Msaada tafadhali.
Muda ni huohuo, huna dstv? Inaonekana hawa Agape wataonyesha kwa wale wenye king'amuzi chao cha ting.
 
Niko hapa mkuu sema hii mechi inanipa wasi wasi sana kuliko ata ile ya Chelsea.

Mechi zenu zote za kununua mtaachaje kuwa na wasi wasi? khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee
 
Mechi zenu zote za kununua mtaachaje kuwa na wasi wasi? khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee

leo naona umejaa tele kwenye jukwaa la watani.....tuko pamoja....hofu itawaua leo,hakuna wa kuwabeba!!:frusty:
 
Wangeni sana ila leo awa O4 tunawapiga bao kama jina lao vile....yaani Nne Bila......

Go go go my boooooooys!

Wapi Mbu?
 
AW

Punguza kuwanga kaka! hahahaha! apa nilikuwa na vimeo vya ofcn lakn bosi atajiju kesho, tukishinda nakesha hadi viishe, unles otherwise kesho natafuta ED mapemaaaaa!
Afadhali leo huna tatizo la foleni manake una visingizio sana mkuu lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…