Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United loanee Andreas Pereira seems to be enjoying life over in Spain.

Anaendelea kufanya vizur huko granada
 
kwahyo Arse8 ni tusi? anyway nimejifunza kitu inawezekana mazingira ya ushabiki ni tofauti, mazingira yako yanakuruhusu kuongea hilo neno na ukaonekana wa kawaida ila kwa mazingira yangu nimeona umeongea ushabiki ambao umevuka mipaka.

Mpira wa miguu sijaanza kushabikia jana aisee ..... napenda mpira na wanaojua wananijua napenda mpira uko kwingine sijawahi kupapenda hata kwa bahati.
 
Jamani ...kunaumhimu wa pogba kubadirika maana anapoza sana mashambulizi anapopewa pasi ...mf Jana kapewa pasi .rashiford a naomba wala hata hana haraka yani ..inabindi aongezee speed yani km hivyo tu atakuwa atakuwa anatulostisha
 
wasikupe shida hao waathirika wa manchester united anaangalia stoke ashinde hajui refa kanyima penat mbili analilia dakika tu hajui kuwa dakika 6 ni chache sio sawa na 90 kama umeweza kulinda goli dakika 90 unashindwaje dakika 4? mbon swansea kalinda goli zake ndani ya dakika 6 za liver? tena nyumban kwa liver stoke yupo kwake
 
Jamani ...kunaumhimu wa pogba kubadirika maana anapoza sana mashambulizi anapopewa pasi ...mf Jana kapewa pasi .rashiford a naomba wala hata hana haraka yani ..inabindi aongezee speed yani km hivyo tu atakuwa atakuwa anatulostisha
Ndo uwezo wake ulipoishia sasaa... hakuna namna!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…