Amtoe Mata aingie RashfordSijui amtoe Nani?? Labda makh aingie Rooney
Wamehama dunia wako mars..!Na huku nako leo kumekuwa kimya jamani, hivi mnaenda wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] inawezekana mkuuWamehama dunia wako mars..!
Bora kuwepo na utulivu..![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] inawezekana mkuu
Tupo mkuu ila kimenukaNa huku nako leo kumekuwa kimya jamani, hivi mnaenda wapi?
Ha ha ha ha ha. Pole mkuu, matokeo ya leo sio rafiki kuanzia kwa LiverTupo mkuu ila kimenuka
Sio hamkuwa na bahati ..timu mbovuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Team imepambana sana lakini hatukuwa na Bahati