Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Mechi ya Stoke City ni ngumu sana,vijana wa Mark Hughes wako on fire.
Since ametua United Jose amebadilika sana,kuna makosa aliyofanya huko nyuma hataki kuyarudia so far amefanya yafuatayoUjio wa José umeleta uhai kidogo hata kwenye suala la biashara, tulikua tunauza wachezaji wetu kwa hela ya maandazi sana,
Buy back clause ni ya msingi sana bado nina imani huyu dgo ana talent tatzo ni altitude na kutojituma.
Ujio wa José umeleta uhai kidogo hata kwenye suala la biashara, tulikua tunauza wachezaji wetu kwa hela ya maandazi sana,
Buy back clause ni ya msingi sana bado nina imani huyu dgo ana talent tatzo ni altitude na kutojituma.
Since ametua United Jose amebadilika sana,kuna makosa aliyofanya huko nyuma hataki kuyarudia so far amefanya yafuatayo
1.Kuwapa nafasi wachezaji wote kabla hajaamua kuwauza
2.Kuwafuatilia maendeleo ya wachezaji wote walio kwa mkopo
3.Kuuza wachezaji kwa bei nzuri (hii alianza alivyorudi Chelsea)
4.Tactical the way anavyofanya sub na kubadilisha formation kwenye situation tofauti
Sent from my NokiaX2DS using JamiiForums mobile app
Na chicharito mkuu....
LVG alikuwa kashindikana
Lol........Usiwe na Wasi kwa Stoke.... Mark Hughes Ni Wenu Wenyewe Kalelewa na SAF ndani Ya Man U......
Ndani Ya Stoke, Man U Haters ni Wawili tu → Allen na Crouch (Kopites)….
Mbaya zaidi hata official account ya timu haikumuwish wala kutangaza kuondoka kwakeNikikumbuka Van Persie alivyouzwa kwa £4m na tukabakiwa na Rooney pekee yake,siwezi kumsamehw LVG.
Mbaya zaidi hata official account ya timu haikumuwish wala kutangaza kuondoka kwake
Usiwe na Wasi kwa Stoke.... Mark Hughes Ni Wenu Wenyewe Kalelewa na SAF ndani Ya Man U......
Ndani Ya Stoke, Man U Haters ni Wawili tu → Allen na Crouch (Kopites)….
Ukishajishaua Fahamu Kuwa Wenzako Wanamalizana Kabisa Timu Kubwa Wao Kwa Wao! Baadae Unabakia Peke Yako Uliebakisha Na Mechi Kubwa! Hapo Ndiyo Utakapoona Disavantage Ya Unachokifurahia.... Kwani hao Uliiwaanika Hapo Juu (Chelsea, Spurs, Arsenal na Man City) na Wewe Wote Utacheza nao.. Na usijeukajisifu Kuwa Wote Utawafunga Kama ulivyojisifu Utampiga nyingi Liverpool
Manchester United have returned to the top of the Deloitte Football Money League for the first time in 11 years after recording the highest annual revenue for a football club in history.
United's record revenue for the 2015/16 season of £515.3m sees them leapfrog Spanish giants Barcelona (£463.8m) and Real Madrid (£463.8m), who sit second and third respectively.
Man United top Deloitte Money League ahead of Barcelona and Real Madrid
Griezman deal Done to OT
Mwenye taarifa kamili wadau
Griezman deal Done to OT
Mwenye taarifa kamili wadau
Griezman deal Done to OT
Mwenye taarifa kamili wadau
lol...hebu rudia tena kusoma ulichokiandika bro!