Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi kwanini kila man utd tunaposhinda makelele yanakuwa mengi ..Mara goal la offside mara refa katumbeba hivi kwann??
 
Hivi kwanini kila man utd tunaposhinda makelele yanakuwa mengi ..Mara goal la offside mara refa katumbeba hivi kwann??
Fear.
Wanaogopa tunazidi kupunguza points tu kwenda juu ndo mana wanakuja na mapovu yasiyo na sabuni.

Nashangaa watu wanahangaika kujibishana nao mamluki.
 
Kuna watu walikuwa wanamponda sana Jose but tactical Jose amekuwa bora sana kusoma mchezo na kufanya sub,Mourinho wa zamani ilikuwa ngumu sana kutoa defender/defensive mid kuingiza washambuliaji.Liverpool wanajaza viungo sana kati so ilikuwa ngumu kwa Pogba/Mata/Mkhitaryan kushine mechi ya jana option ilikuwa kumuingiza Fellaini au Rashford awe anashambulia toka kushoto lakini Rashford sio mzuri kwenye kudefend.
 

Mata ni better kuliko Pogba offensive na wanacheza position tofauti but in general Pogba ni mchezaji bora kuliko Mata,Kwa jinsi Liverpool walivyocheza game ya jana Rashford ndio angeweza kubadili mechi sio Mata
 
Howard Webb: Wayne Rooney foul a yellow card, Man United goal offside - former referees


Former referees Howard Webb and Keith Hackett have said Manchester United's Wayne Rooney should have been booked against Liverpool while the home side's equaliser should not have stood.

Ibrahimovic's leveller came after Antonio Valencia had strayed into an offside position in the build up, while Rooney had earlier conceded a free kick after catching Milner with his studs but was not cautioned by referee Michael Oliver.
 
Goli letu

Liverpool were robbed of victory by blundering officials, claims former referee Howard Webb

Zlatan Ibrahimovic scored a late equaliser to rescue a point for Manchester United - but Antonio Valencia was offside in the build-up


Antonio Valencia was offside in the build-up to the equaliser (Photo: Tom Purslow)

Former World Cup and Premier League referee Howard Webb has accused the officials of costing Liverpool victory at Old Trafford.

Zlatan Ibrahimovic scored a late equaliser to rescue a point for Manchester United - but Antonio Valencia was offside in the build-up.

But assistant referee Mick McDonough was poorly positioned and didn't notice.

“Manchester United benefited from an error by assistant referee Mick McDonough,” Webb told The Times.

“Positioning is everything as an assistant referee and he is not where he needs to be, which is looking along the offside line.



Zlatan Ibrahimovic scores the equaliser (Photo: Getty Images)

“Because he is too far down the touchline, he cannot judge whether Antonio Valencia is just offside before he receives the ball, which he is.

“In those circumstances, he gives the benefit of the doubt to the attacker. He will have known he lost his position at a crucial time.”

Keith Hackett, the former general manager of the Professional Game Match Officials Board, agreed with Webb that some big decisions went against Liverpool.

“When Michael and his team look back on the game there will be three decisions they will be disappointed with,” he told the Telegraph.

“The most serious of them was when assistant referee Mick McDonough failed to notice Antonio Valencia was offside in the build-up to Manchester United’s equaliser.

“He was completely out of position and it was a poor error considering the move was being conducted at walking pace.”
 
ukizingatia huyu Webb ni "shetani" through and through, huu ndio ukweli wenyewe wa Manure kubebwa jana!!
 
Coutinho atawacost sana Liverfool, wamempiga sindano kisa game ya man Utd. Ndiyo shida za wapinzani wanakamia sana game za man Utd. Huyo coutinho mpk apone 100% siyo leo wala kesho.
Chelsea waliwakamia wakawapiga4, Watford waliwakamia wakawapiga 3, man city waliwakamia wakawapiga 2, nini kinawafanya mshindwe kukamia na nyie?
 
Chelsea waliwakamia wakawapiga4, Watford waliwakamia wakawapiga 3, man city waliwakamia wakawapiga 2, nini kinawafanya mshindwe kukamia na nyie?
Huo ulikuwa ni mpito hamna tena kitu km hicho
 
Huo ulikuwa ni mpito hamna tena kitu km hicho
Kwahiyo hao wote wakija tena ni goals tu mnawapiga? Hapo labda Watford tu, kumbuka bado hawajaacha kuwakamia maana liver Jana kakukamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…