Draws dhidi ya Everton, Arsenal na West Ham ndizo zimetuweka hapa. But, it is all good.Upo sahihi kabisa
Mechi za mwanzo tumepoteza point nyingi kizembe ndio maana tumeganda nafasi ya 6 muda mrefu kichizi
kweli kabisa timu inatishaaawapendwa mashabiki wenzangu wa man utd naomba niwaambie hii timu imeiva!!bahati mbaya imechelewa kuiva uzembe tuliofanya mwanzoni mwa msimu ndio una tu cost!!!yaani vijana wanatafuta goli kwa moyo toka game linaanza mpaka refa anapuliza kipenga cha mwisho!!
Kwa kuwa umeandika kwa chuki na unazi mwingi, ngoja nikujibu. Pogba ana miaka 23, na ni full msimu wake wa kwanza EPL. Bado ana muda wa ku-improve. Pamoja na price tag yake; bado anahitaji ku-improve zaidi. Mtathimini msimu wa kesho.To be Honest Hapa Kwa POGBA Pana Ukweli Ambao Munajipumbaza Kwa Makusudi Kuufimbia Macho.....!
Ni Ukweli usiofichika Pogba Ni Mchezaji Wa Kiwango Cha Juu Kwa Sasa! LAKINI HUWA SHUJAA KWA VIBONDE TU!!! Munapokutana Na Timu Kubwa Yeyote POGBA huwa Kama Mrenda....
Mtu Aniprove Wrong Kuhusu POGBA kuwa Hakuonekana Ubora Wake Katika Mechi Hizi!!
vs CHELSEA (A)
vs MAN CITY (H)
vs ARSENAL (H)
vs LIVERPOOL (H &,A)
Morinho anapaswa Kumjenga Jamaa Awe na Confidence Anapokutana na Timu Kubwa.... Sio awe "MAN OF THE MATCH" kwa "RELEGATORS" tu....
Ni kweliDraws dhidi ya Everton, Arsenal na West Ham ndizo zimetuweka hapa. But, it is all good.
I'm confident kucheza UCL msimu ujao.
Bao lile la Ibrahamovic ingawaje ni zuri lilitakiwa kufutwa kwa sababu Valencia aliyetoa pasi ya kwanza kwenda kwa Rooney alikuwa off-side. Mwamuzi na msaidizi wake wamefumbia macho.
Hata hivyo mna bahati ya kupata sare leo. Mou na Guardiala watapigiana simu leo kufarijiana. Ligi la EP sio "kupiga sound".
Bao lile la Ibrahamovic ingawaje ni zuri lilitakiwa kufutwa kwa sababu Valencia aliyetoa pasi ya kwanza kwenda kwa Rooney alikuwa off-side. Mwamuzi na msaidizi wake wamefumbia macho.
Hata hivyo mna bahati ya kupata sare leo. Mou na Guardiala watapigiana simu leo kufarijiana. Ligi la EP sio "kupiga sound".
Jamaa yupo sahihi kabisa, ila ni mwamuzi msaidizi ndiye alisaidia man kusawazisha,Hivi Man United na Liver ni nani kabahatika kutoka na point 1? Bila shaka wewe utakua shabiki wa Arsenal.
Mkuu msikilize Ferdinand anachokisema hapa kwenye uchambuzi wake,ni kweli ilikuwa offsideOfside gani pale? mpira ulipigwa kichwa na Fellain ukagonga mwamba, ukawa unaambaa ambaa, sasa ofside iko wapi pale???
Jamaa yupo sahihi kabisa, ila ni mwamuzi msaidizi ndiye alisaidia man kusawazisha,
Hilo liko wazi kwa mwanamichezo yoyote alieangalia mpira
Mkuu msikilize Ferdinand anachokisema hapa kwenye uchambuzi wake,ni kweli ilikuwa offside