Hongereni Wakuu points sita nyingine katika michezo yenu iliyobaki itawahakikishia kwamba mnarudisha tena taji pale Old Trafford. Kwa jinsi EPL ilivyoanza mwaka huu sikutegemea kabisa muwe mabingwa maana wale Chelsea walianza vizuri sana. SAF na timu yenu wanahitaji pongezi za hali ya juu kwa kujituma katika kila mechi tena kwa dakika zote 90. Nimeipenda hii defence ya Everton imetulia sana pamoja na mashambulizi ya mfululizo ambayo mliyaelekeza kwao. Ingekuwa timu yangu si ajabu tungefungwa tatu au hata zaidi. BJ & Co hongereni sana.
kumbe watu wa Manu mlikuwako mlikuwa kimya vipi pressure?
Wachovu sasa utawasikia eeehe tulikuwako tokea mwanzo mbona hamsemi
Huyu chicharito nomaaa sana. Anajua kazi ya striker nini.
Haya watani naona mna nia ya ubingwa na ndio maana mna fight mpaka dakika ya mwisho.hongereni.
Mie nasubiri timu yangu kesho ya "kombe tumelikosa lakini pasi twazipiga".

Sema shida yako kijana, sio unanyatia tu...tupo...tumejaa tele, unles PC yako ina makengeza.
kumbe watu wa Manu mlikuwako mlikuwa kimya vipi pressure?
Wachovu sasa utawasikia eeehe tulikuwako tokea mwanzo mbona hamsemi
Hahaha nimecheka sana etii kombe mmelikosa nalakini mnaweza kushinda bado...... pass mnazipiga au sio???

Nyie ambao hambebwi kwenye intaneshno mko wap?..kam a hujui tunaelekea Wembley.
Inauma mkuu kuangalia watu wananyanyua vikombe huku tunasubiria bila matumaini zamu yetu ifike tena.
Wewe ulikuwa unaangalia mechi gani?itokee miujiza ya sh Yahya hussein, lakini Manu ni bingwa tayari hakuna sababu ya ref kukataa penalt ya everton leo kama mimi ndie Coach wa Everton natoa mkono kabisa kwa ref
Manu kweli wanabebwa wala sina kusikia kuwa wanajuwa mpira wala nini
KUDADEKI
Ndio maana tuko kwenye semi final ya Champions Leaguemanu wamebebwa sana tu wala hakuna kukataa hivi mpaka lini mtakuwa hivi ndio kwenye International mnakuwa mdebwedo
Again ulikuwa unaangalia mechi gani wewe, alafu unajua sheria za mpira ama basi tu ni shabiki....nikutumie PDF ya Laws of The Game?hiii back pass ref hakuiona na golyy kauchukuwa
Aisee huyu ref kama ndio hivi sina la kusema
Mkuu give it a rest kila kitu refa refa, wenye timu wenyewe walikuwa hawalalamiki wewe unapiga kelele....Naanza kupata wasi wasi na uelewa wako wa sheria za soka.kudadeki ref
Ebo!! sasa unawaamulia watu wafanye nini na wasifanye nini? Nyie ndio wale hamuonekani kwenye jukwaa la michezo mpaka Man Utd ikiwa inachezakumbe watu wa Manu mlikuwako mlikuwa kimya vipi pressure?
Wachovu sasa utawasikia eeehe tulikuwako tokea mwanzo mbona hamsemi
Mmechoka kwa kipi mlichokifanya? Umeona jinsi wachezaji wangu walivyochoka maana tunacheza mechi kila baada ya siku tatu sasa....!!Kabisa mkuu inauma sana....sasa sijui tuseme kuchoka au vipi...maana toka mwanzo huwa wanaanza vizuri sana ila dakika za mwisho ndio wanaharibu......mechi za kushinda wa droo.......
Hongereni sana watani,hakuna wa kuwazuia mwaka huu.......Mwendo mdundo...

Hongereni sana......Mnastahili kuwa mabingwa,timu yenu ina ari ya ubingwa kwa kweli,I wish hata Arsenal tungekuwa na wachezaji ambao si wakata tamaa na wenye mawazo na mbinu za ushindi kama yenu....

Binafsi niko kwenye mfungo wa maombi(retreat) kuomba ARSENE WENGER afukuzwe kazi Arsenal.....

Mumushukuru sana Mungu kwa kuwapatia Sir Alex Ferguson......Tukutane msimu ujao(ambao mambo kwetu yatakuwa ni yale yale kama AW ataendelea kuwa manager wetu)

Bala.

Heri ya Pasaka kwa wale wote wanaosherekea.
manu wamebebwa sana tu wala hakuna kukataa hivi mpaka lini mtakuwa hivi ndio kwenye International mnakuwa mdebwedo