Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Gemu ya 15 unbeaten ushind wa 9 mfululizo ktk michuano yote

Ww hapana chezea sisi kabisa
Sasa maombi yangu ni tulibebe tena kombe hili yaani mlango uko wazi,ila tusiwachukulie poa Hawa Hullicty yaani tucheze kama hatutakuja kucheza tena ..... yaani Soton amenipa raha jana acha tu nilikuwa sina access tu ya kuja kushangilia humu
........ gooooooooo on Man U vita ni vita!!!,huku FA,huku Capital huku EPL Mdogo mdogo tutafika...... GGMU
 
Mkuu bado kuna marudiano mkuu...Man utd ataenda kwa Hull city na hao Southampton wataenda kwa majogoo...kwa ushindi wa 1-0 walioupata bado nina mashaka sana kama watapita fainali maana mechi ya marudiano watacheza kwa kulinda goli...
 
Yaaahhh marudiano yapo bado,nimeedit pale juu nilikosea...... dalili za mvua mawingu bana hawa walishatoka tuwahesabu tu hivyo na wapigwe tu tena
....... ndo maana sisi tusilale yaani hayo marudiano tupambane kama vile fainali...... hope tunalibeba tena kombe hili.
 
fainal tukikutana na liver ndio itanoga zaidi
 
Mkuu bado kuna marudiano mkuu...Man utd ataenda kwa Hull city na hao Southampton wataenda kwa majogoo...kwa ushindi wa 1-0 walioupata bado nina mashaka sana kama watapita fainali maana mechi ya marudiano watacheza kwa kulinda goli...
Yaah jana the saints wangeweza kuimaliza game kuna mmoja alileta mambo ya uchoyo na kupoteza nafasi ila sidhani kama wataenda kuzuia wana mpira wao flan hivi ni khatari sana wale winga zao zinakimbiza balaa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…