Bastian, what a professional footballer!! Pamoja na vitimbwi vyote, sijamsikia akilalamika wala kuongea ongea na media! Hopefully, ataendelea kupata some play times. [HASHTAG]#werolling[/HASHTAG], [HASHTAG]#weballin[/HASHTAG]
Bastian anaipenda sana Manchester UnitedBastian, what a professional footballer!! Pamoja na vitimbwi vyote, sijamsikia akilalamika wala kuongea ongea na media! Hopefully, ataendelea kupata some play times. [HASHTAG]#werolling[/HASHTAG], [HASHTAG]#weballin[/HASHTAG]
asanteeee nawe piahongereni kwa ushindi, weekend njema kwenu wote.
Mkuu hata kwenye soka upo? Sherehe yangu nitakupa tender.. Bei zipoje?asanteeee nawe pia
mimi ndio soka mkuu!!!nicheki 0754348782!!au ngoja nije inbox nisiharibu uzi wetu pendwaMkuu hata kwenye soka upo? Sherehe yangu nitakupa tender.. Bei zipoje?
Nmekupata vema mkuu,,,, good analysisMorgan mi kwa upande wangu naona kama wale viungo wa kizaman wanakabia chini sana hapandishi timu kama carick ni wazur ukishinda usiposhinda timu inakuwa nzito kwa sasa wanahangaika manchester kupata kiungo kariba ya carick kipind cha kwanza mou alifeli alikuwa anajihami sana sisi hatuna soka la kuzuia ni kishambulia ndo mana anamtoa smalling anamuingiza rashford bado timu ipo sawa hii ni kitokana na kuwa na viungo washambuliz herrera na carick wanakaba na wanashambulia
Mnacheza na katimu cha daraja la tano uko mnashinda afu mnajionaaa ..amwoni ata aibu mnapanga likikosi lenu lote la kwanzaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bastian, what a professional footballer!! Pamoja na vitimbwi vyote, sijamsikia akilalamika wala kuongea ongea na media! Hopefully, ataendelea kupata some play times. [HASHTAG]#werolling[/HASHTAG], [HASHTAG]#weballin[/HASHTAG]
Mnacheza na katimu cha daraja la tano uko mnashinda afu mnajionaaa ..amwoni ata aibu mnapanga likikosi lenu lote la kwanzaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Scholes na jeuri yake yote, sasa hivi kaanza kukubali mziki wa Mou taratibuScholes: "Let's hope Rooney breaks the record against Liverpool. If Manchester United beat Liverpool, they're back in the race."
-RS
.....Na kule kwa Maalim Seif watoto wa Jangwani wamepigwa miguu ya stuli na Wauza Ice. Ndo maana soka ni mchezo unaovutia....
Uyo uyo Kante aliwachoma kimoja cha dawa. .na bado atawachoma tena.
Mkata umeme veeepi???
Scholes na jeuri yake yote, sasa hivi kaanza kukubali mziki wa Mou taratibu